Acha uongo? Wapi waliwahi kuamua nani awe nani? Hata hiyo kanda ya ziwa pekee pale mkoani Mwanza hawana nguvyu ya kuamua kuliko WakuryaMwenye kutaka awe na sura ya kitaifa ni lazima awekeze kwa wasukuma kiasi maana wana uwezo wa kuamua nani awe nani,hasa upande wa siasa.
Halafu unitafute , usiache na ukorofi wako nimeshtakiwa hukoNmepokea
Nakupigiaaaa.....au haupo free sahivi? Umeweka kindege?Halafu unitafute , usiache na ukorofi wako nimeshtakiwa huko
Aaaahhh Wabeja sana NkemaNkema....
Piga chapuu kabla sijaingia taifaNakupigiaaaa.....au haupo free sahivi? Umeweka kindege?
Kumbe tutakua wotePiga chapuu kabla sijaingia taifa
Ng'wanike ung'wenuyo! Bebe nang'ho ginehe mzehe?Ginehe nkima 🤣
Andaa na koo la wineKumbe tutakua wote
Bhebhe shi.Katika kutembea kwangu mikoa ya Tanzania nimepata kujua haya kuhusu wasukuma;
1. wasukuma hawana ubaguzi wa kikabila kama wakinga na wahaya. Mtu ambaye si msukuma unafanya biashara bila shida
2. Ni wakarimu hawana roho mbaya
3. Wanapenda ushirikina.
Wasukuma mlioko humu Pascal Mayalla et al najua mtaunga mkono hoja
😂😂Ngumu sana,, ikifika dola1 ila itakata masifiri mengi,, halving imefanyika juzi mwezi wa4 hadi mwakani coin nyingi zinatengeneza ATH mpya,, BTC inatazamiwa kufika 170k
Nakubaliana nawewe ushirikina na ushirikiano ni Pete na kidole mkuu.Katika kutembea kwangu mikoa ya Tanzania nimepata kujua haya kuhusu wasukuma;
1. wasukuma hawana ubaguzi wa kikabila kama wakinga na wahaya. Mtu ambaye si msukuma unafanya biashara bila shida
2. Ni wakarimu hawana roho mbaya
3. Wanapenda ushirikina.
Wasukuma mlioko humu Pascal Mayalla et al najua mtaunga mkono hoja
Siyo kweli, kuna dada msukuma amepanga kwenye nyumba yangu, msafi balaa. Kile kiswahili chake cha kukandamiza hadi natamani nichepuke nae. Halafu tall hana maringo hata kidoga.Kwenye usafi ndo F aisee
Safi sana, kila sehemu nikipita nakutana na watu wanakandamiza kisukuma kwa sauti za juu! Huwa napenda sana.Unene nalimhola sana nakugishe ng'wa nani nkoi?
Umesema kweli ngosha, Mungu kawabariki sana maana kila mnapokuwa mnakandamiza kisukuma na mnaishi kwa umoja sana.Mozambique mpaka kesho wanajua wasukuma tunaichi yetu tofaut na Tanzania
Maana sisi tulikuwaga hatuzungumzi kiswahili ni mwendo wa kisukuma kwa kwenda mbele
Kwahiyo watu wa huko wakawa wanajua watanzania ni wengine na wasukuma ni wengine maana haiwezekan nchi moja lakin lugha mbili tofaut na utamadun tofaut na majina tofaut
Seba akojiwe namhala😆😆😆Henaha mang'ingwana gatogwile koyomba mamihayo ga nchilochilo gete.
Obise kokaya gete tolangwa kobiza banyalali pye basumba batale.
Kongono guku wise namhala nlangi getegete, ateho nchilochilo kokaya.
Seba akojiwe.