Unaishi nae vipi maana mimi nishachoka Naona kama mimi ndio namtaka sanasio wasukuma bwana,ni baadhi ya wanaume wapo ivo, mfano huyu wamimi yaani ulivoandika hapo yupo hivo kila kitu tena na kuzidi,ila sio msukuma.
Hakuna mtu mzima aliye busy na mambo yake ya utafutaji ukakuta anachat kwa siku hata sms 5 zikafika, au anapiga piga simu hata baada ya masàa mawili hata awe anampendaje mwenzie wanapeana mudaSawa mkuu. Nafikir ni vile watu wanaamua kuridhika na upungufu n settle for less ndio maana kuna ku justification kama hiv. But love is love ,doesnt matter an age
Ila kuangalia status Upo chapuHakuna mtu mzima aliye busy na mambo yake ya utafutaji ukakuta anachat kwa siku hata sms 5 zikafika, au anapiga piga simu hata baada ya masàa mawili hata awe anampendaje mwenzie wanapeana muda
😂😂Hakuna mtu mzima aliye busy na mambo yake ya utafutaji ukakuta anachat kwa siku hata sms 5 zikafika, au anapiga piga simu hata baada ya masàa mawili hata awe anampendaje mwenzie wanapeana muda
Status za niniIla kuangalia status Upo chapu
fata yeye alivo,ilikua ngumu ila nazoea sasaUnaishi nae vipi maana mimi nishachoka Naona kama mimi ndio namtaka sana
Nikifata alivyo hatutoongea weekfata yeye alivo,ilikua ngumu ila nazoea sasa
Si unasema Upo busy huwezi kimtafuta mwenzio ila wewe ni kuview statusStatus za nini
Nawewe mvumliepooo mayooo.....amekupendapooo,usimfanye akugayee....usiwee mpumbafuuu getegeteeeAlinitongozapoo 🥹
Getegete ameshaga nigaya.. enyewe ni long distance kibaha-mwanza sina changuNawewe mvumliepooo mayooo.....amekupendapooo,usimfanye akugayee....usiwee mpumbafuuu getegeteee
Unajua kwamba hayo mambo ya mastatus, kuchat, inategemea umri na majukumu ya mtu? Wiki inaweza ikaisha nisijue nani kafanyaje, yule kafanya nini.Si unasema Upo busy huwezi kimtafuta mwenzio ila wewe ni kuview status
sawa tu, muhimu we unaona ana kitu ndani yake juu yako,,,, nakwambia uhalisia nafanya vile yeye yuko,nna sku ya pili hatujawasiliana😌Nikifata alivyo hatutoongea week
😂😂😂 daaah chache hizo mama mimi wangu anakaaga hata 1 week usipomcheck halafu atakutafuta analalamika nina Roho mbaya nashindwa hata kumcheck et mpk ani hecksawa tu, muhimu we unaona ana kitu ndani yake juu yako,,,, nakwambia uhalisia nafanya vile yeye yuko,nna sku ya pili hatujawasiliana😌
narudia,,,kama anakitu ndani yake juu yako usichoke, husband material wengi wapo ivo na hua tunawapoteza kwa kupenda na kukosa attention kama izo,we ukiamka asubuh mtakie siku njema,mchana pia na usiku,ili kuepusha yeye kulalamika, sababu lazima kuna siku tu atakutafuta mtaongea vizuri.😂😂😂 daaah chache hizo mama mimi wangu anakaaga hata 1 week usipomcheck halafu atakutafuta analalamika nina Roho mbaya nashindwa hata kumcheck et mpk ani heck
Mimi nishachokaa bhn mapenzi gani hayo
Hebu.. Hio ana kitu ndani yake juu yangu ndio una maanisha nini??narudia,,,kama anakitu ndani yake juu yako usichoke, husband material wengi wapo ivo na hua tunawapoteza kwa kupenda na kukosa attention kama izo,we ukiamka asubuh mtakie siku njema,mchana pia na usiku,ili kuepusha yeye kulalamika, sababu lazima kuna siku tu atakutafuta mtaongea vizuri.
wewe huoni uelekeo wowote mzuri juu yako!?,,au unaona tu izo drama?Hebu.. Hio ana kitu ndani yake juu yangu ndio una maanisha nini??