Wasukuma ndivyo mlivyo au huyu ananiigizia

No reform no election

Habari zenu wana jf… hongereni kwa ibada kwa mlioenda na wengineo ambao mpo sehemu za starehe nawasalimia

Nataka nijue wasukuma ni watu wa haina hii au huyu wangu nimemuokota tu

Nipo na huyu mkaka almost 9 months lakini ila Naona kama hatuna chemistry au mimi ndio nina mawenge

1: Sio muongeaji yaani ukimwambia kitu anakujibu Sawa nimekuelewa😕 yaani unajitumisha sms ndefu halafu ni ile labda inahitaji majibizano yeye anajibu Sawa nimekuelewa
Ukimuuliza maana ake nini anacopy lile swali ulomuuliza analirudia kwako
Na ukilalamika utasikia anakwambia “umeanza” yaani hapo kamaliza aendelei 🤣

2: Hanaga story mpk wewe uanzishe kwaiyo mnaweza kujikuta ni hello, hello. Mzima .. mzima sijui wewe basi usiku mwema..

3: Kuongea na simu hapendi yaani ukiongea nae ni sekunde tena mara chache sana.. namuuliza una shida gani anasema I hate calls 😳😳 hapa ananishangaza

4: Analazimisha SANA NIkaishi nae ( ni long distance relationship) while hajanioa wala kunitolea mahali.. namueleza mimi nafanya kazi nikiacha inakuaje majibu yake wewe njoo tutafuta ingine

Kinachonifanya nibaki nae ni kwa kuwa yaani ni mpole, hawezi kuniongelesha vibay labda kunikejeri.. ana ule upendo mnapokuwa pamoja ana kujali.. kiufupi ana ile kukuthamini na kujishusha kidogo tu utasikia am sorry 😢

Ukweli wa Mungu huyu ndio mwanaume naempenda kutoka Rohoni ila mambo yake yanafanyaga nikaage mbali nae kila siku anatoa ahadi atabadilika lakini Hakuna mabadiliko

Mpk najiuliza kwani wasukuma wapo hivyo au huyu wangu ana matatizo yake

Ila nampenda Msukuma wangu sana tu
Hii ni hulka (personality)yake. Ni ngumu kubadilisha hulka ya mtu, kikubwa ni wewe kubadilika ili uendane naye!
 
Unapenda mwanaume atumie muda mwingi kuchat badala afanye kazi na kufikiria future yenu.
Mwanaume wa mameseji meeengi kwa siku hanaga uanaume ndani yake mdogo wangu, kama mwanaume anakujali na hana mambo mengi ishi naye, (mzingatie) mwanaume anapenda akusalimie asubuhi na jioni tu pale mnapotaka kulala.
Messages, calls, salam nyingi, stories zingi zinakera kama hujui.
Hamja click tu au Hujapatikana kisawa sawa mshkaji wangu 😂😂.
Japo ni kweli si wote wanapenda hiz mambo.

NO REFORM NO ELECTION
 
Sema maisha ya mapenz ni something very subjective yan. U cant dictate or project your ways onto the other.

We bwana just mould your stuff as you think you want it be
 
No reform no election

Habari zenu wana jf… hongereni kwa ibada kwa mlioenda na wengineo ambao mpo sehemu za starehe nawasalimia

Nataka nijue wasukuma ni watu wa haina hii au huyu wangu nimemuokota tu

Nipo na huyu mkaka almost 9 months lakini ila Naona kama hatuna chemistry au mimi ndio nina mawenge

1: Sio muongeaji yaani ukimwambia kitu anakujibu Sawa nimekuelewa😕 yaani unajitumisha sms ndefu halafu ni ile labda inahitaji majibizano yeye anajibu Sawa nimekuelewa
Ukimuuliza maana ake nini anacopy lile swali ulomuuliza analirudia kwako
Na ukilalamika utasikia anakwambia “umeanza” yaani hapo kamaliza aendelei 🤣

2: Hanaga story mpk wewe uanzishe kwaiyo mnaweza kujikuta ni hello, hello. Mzima .. mzima sijui wewe basi usiku mwema..

3: Kuongea na simu hapendi yaani ukiongea nae ni sekunde tena mara chache sana.. namuuliza una shida gani anasema I hate calls 😳😳 hapa ananishangaza

4: Analazimisha SANA NIkaishi nae ( ni long distance relationship) while hajanioa wala kunitolea mahali.. namueleza mimi nafanya kazi nikiacha inakuaje majibu yake wewe njoo tutafuta ingine

Kinachonifanya nibaki nae ni kwa kuwa yaani ni mpole, hawezi kuniongelesha vibay labda kunikejeri.. ana ule upendo mnapokuwa pamoja ana kujali.. kiufupi ana ile kukuthamini na kujishusha kidogo tu utasikia am sorry 😢

Ukweli wa Mungu huyu ndio mwanaume naempenda kutoka Rohoni ila mambo yake yanafanyaga nikaage mbali nae kila siku anatoa ahadi atabadilika lakini Hakuna mabadiliko

Mpk najiuliza kwani wasukuma wapo hivyo au huyu wangu ana matatizo yake

Ila nampenda Msukuma wangu sana tu
Oktoba tunatiki!
 
Wadada sijui waga wanataka Nini?
Mtu umemwambia unampenda tangu January lakini kila siku anakuuliza swali lilelile Kila siku
Mwishowe nilimwambia nitakuja kumpiga makofi
Maana huo ni usumbufu sasa
 
Ukitaka kuishi kwa amani usijaribu kumbadilisha mtu tabia yake,jifunze namna ya kuishi na hiyo tabia
 
Wadada sijui waga wanataka Nini?
Mtu umemwambia unampenda tangu January lakini kila siku anakuuliza swali lilelile Kila siku
Mwishowe nilimwambia nitakuja kumpiga makofi
Maana huo ni usumbufu sasa
😂😂😂
Mkuu una hasira au maisha magumu
 
Hilo swali namuulizaga msukuma wangu kila nikijisikia utasikia umeanza kila siku unaniuliza hivyo nakupa majibu 🤣🤣🤣
 
Hayo ni mapenzi ya wavulana na wasichana.
Sawa mkuu. Nafikir ni vile watu wanaamua kuridhika na upungufu n settle for less ndio maana kuna ku justification kama hiv. But love is love ,doesnt matter an age
 
Back
Top Bottom