Wasukuma ndivyo mlivyo au huyu ananiigizia

Wasukuma ndivyo mlivyo au huyu ananiigizia

Mwenyew sipendi kuongea na simu mara Kwa mara!

Tena ukilazimisha nakasirika sipendi kabisa... Kuna ndg zangu karibia wote mawasilianao yetu ni txt tu kumaliza miezi niwili bila kupigiana simu ni kawaida sana.

Kuchat na mwanamke sijui umepika?
Umekula?
Nisubiri tule waote beibi njoo tulale sijui nyoko nyoko nyingi ni upuuzi ndiyo iwe ndiyo na hapana iwe hapana
 
😂😂😂
Mkuu una hasira au maisha magumu

Hilo swali namuulizaga msukuma wangu kila nikijisikia utasikia umeanza kila siku unaniuliza hivyo nakupa majibu 🤣🤣🤣
Hapana mkuu,
Utasikia anakuuliza umenipendea Nini mbele ya wasichana wengine woote hao warembo?
Unamwelezea lakini haelewi2
Mkionana ukaondoka baada ya lisaa anakuambia amekumiss
 
Hapana mkuu,
Utasikia anakuuliza umenipendea Nini mbele ya wasichana wengine woote hao warembo?
Unamwelezea lakini haelewi2
Mkionana ukaondoka baada ya lisaa anakuambia amekumiss
Mapenzi hayo mkuu
 
Kama unamuongelea ndugu yake
Shimba ya Buyenze yaani sijui sio romantic au vipi hawa nduguzetu ila ni material things balaa yaani utapewa kilakitu ila chemistry labda ujaribu biology 😂😂😂
 
Hiv watu aina hii ni wa kudili nao vipi au ndio bas ndo walivyo
What i came to realise ni kwamba people r mostly sabotaging themselves when it comes to love. Ndio maana wanakua hivyo na kama unaona wengine hapo wanasem kuna mapenz flan ni utoto something which is untrue atall.

Hawa watu wa namna hii hakuna namna nzuri ya moja kwa moja ya deal nao kusema utamfanya abadilike. Ni ngumu sana. I was kind of one of them. Hii kitu needs internal, personal awakening. Mfano unaweza pigwa tukio ambalo baada ya kupona laweza kukufanya uyatazame mapenz katika namna ya tofaut ambayo ni very positive (hii neema tuna(me) ipata wachache san maana wengi huangukia kuyachukia sana mahusiano. So when you get secons chance unajikuta una dare kwamba "next time, i wanna experience love, no compromises" . Hii ni baada ya kujitazama na kuona ulipo messup.

Au namnA nyingine ya kumbadili mtu wa namna hii ni mpaka pale anapokutana na soulmate wake for real ambaye anaweza ku invoke something into him/her na ika amsha kitu effortlessly.
Ujue haya mapemz wengi tuko na wenza ambao kiuhalisia we dont match energies kabisaaa. We unataka hik yeye anataka kilee. Hapo lazima kuwe na kujilazimisha tu na mmoja wenu kama sio wote mnaamua tu kukubaliana na ku settle for less ila ni waz unaona kabisa ham click and so noo vibe at all
 
Kama unamuongelea ndugu yake
Shimba ya Buyenze yaani sijui sio romantic au vipi hawa nduguzetu ila ni material things balaa yaani utapewa kilakitu ila chemistry labda ujaribu biology 😂😂😂
Mpwaaa jamani mpwaaa! Hata wewe unatunanga dah!

Hivi uliyesema siku ile kuwa keshaelekea kibra full kujaa kwenye mfumo wako ni ngosha ama? Kama ni ngosha hongera sana mpwa maana kwa hakika utakula mema ya nchi 😂

 
Back
Top Bottom