HahahaAu mnyakyusa Kupenda kula mlenda!
Huyu sijui wa wapi mkuu 😂😂Msukuma wa wapi huyo? Ujue kuna Wasukuma wa Connecticut ukoo wa Yale 😂😂😂😂
Kabila linamchango mkubwa katika tabia ya mtu mkuu labda kama umekulia town but ukikulia huko kwenu utaelewa hiliKabila sio tabia
WoyiiiAttention,a tease!
Kadogo sanaaaa😌😌Kadogooooo
Pole sana mamiiiiKadogo sanaaaa😌😌
😁😂🤣ninachojua mna mkono wa kuhonga
HaswaaaYa kweli hayo
hizi akili zako kama nishaziona sehemu😄Heee
Kama una mdogo wako Fanya mpango, maana mi ni msukuma pekee nilobaki Sina mtu.Kusema ukweli huyu kaka ni mpole sana halafu ana Roho nzuri
Nina mama yangu fulani hivi walikuwa ni majirani alikuwa akimsifia sana kwamba ni Kijana mwema na hapo hakuwa akijua kuwa tuna date
So ni mtu ambae mkimya halafu sio maneno mengi that’s why Nampenda
Hela zipo usije muua na njaaKama una mdogo wako Fanya mpango, maana mi ni msukuma pekee nilobaki Sina mtu.
I will treat her like a queen
Umeziona wapi mkuuhizi akili zako kama nishaziona sehemu😄
Nitafutiee kazi mwanza nihamie hukoWasukuma ni romantic sana.. ukishindwana nae basi hakuna utayewezana nae...
Kila mtu ana mapungufu yake. Hayo ya kwake ni madogo na yanavumilika, ishi nae.
Kama mmeelewana fanya hima. Unavyojishaua ndivyo unapotoa mianya kwa wengine.. akishatwaliwa, sisi tutakupa pole tu. Asante.
Wewe pia upate msaada kwa kukazana kusoma upuuziSema wa binti unahitaji msaada! Kila uzi wako ni upuuzi tu🚮
Kwa ex wangu wa kaskazin 😄Umeziona wapi mkuu