min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Toka maghetoni ukatafute pesa bro , GademiiitYou
you too
Toka maghetoni ukatafute pesa bro , GademiiitYou
you too
Nipo kazini bitchToka maghetoni ukatafute pesa bro , Gademiiit
Tatizo unakua na wenge sana, kama unampenda mpende achana na hayo mambo ya ukabila,,, muda sio mrefu huyo msukuma atakuacha au amekuacha tayari.Ramli imeenda Chaka mkuu.. hata nukta sikaribiani nao labda rangi tu ukiniona utadhani wa huko ila sio mkuu
Fk off , quite actin lazy and go hustle bitch, gademiiit.Nipo kazini bitch
🥱Fk off , quite actin lazy and go hustle bitch, gademiiit.
Ndivyo alivyo hapo hamna Usukuma ndivyo alivyo,si anakutosheleza mahitaji pia na kwenye 6×6!Hilo ndio la msingi, mengine potezeaNo reform no election
Habari zenu wana jf… hongereni kwa ibada kwa mlioenda na wengineo ambao mpo sehemu za starehe nawasalimia
Nataka nijue wasukuma ni watu wa haina hii au huyu wangu nimemuokota tu
Nipo na huyu mkaka almost 9 months lakini ila Naona kama hatuna chemistry au mimi ndio nina mawenge
1: Sio muongeaji yaani ukimwambia kitu anakujibu Sawa nimekuelewa😕 yaani unajitumisha sms ndefu halafu ni ile labda inahitaji majibizano yeye anajibu Sawa nimekuelewa
Ukimuuliza maana ake nini anacopy lile swali ulomuuliza analirudia kwako
Na ukilalamika utasikia anakwambia “umeanza” yaani hapo kamaliza aendelei 🤣
2: Hanaga story mpk wewe uanzishe kwaiyo mnaweza kujikuta ni hello, hello. Mzima .. mzima sijui wewe basi usiku mwema..
3: Kuongea na simu hapendi yaani ukiongea nae ni sekunde tena mara chache sana.. namuuliza una shida gani anasema I hate calls 😳😳 hapa ananishangaza
4: Analazimisha SANA NIkaishi nae ( ni long distance relationship) while hajanioa wala kunitolea mahali.. namueleza mimi nafanya kazi nikiacha inakuaje majibu yake wewe njoo tutafuta ingine
Kinachonifanya nibaki nae ni kwa kuwa yaani ni mpole, hawezi kuniongelesha vibay labda kunikejeri.. ana ule upendo mnapokuwa pamoja ana kujali.. kiufupi ana ile kukuthamini na kujishusha kidogo tu utasikia am sorry 😢
Ukweli wa Mungu huyu ndio mwanaume naempenda kutoka Rohoni ila mambo yake yanafanyaga nikaage mbali nae kila siku anatoa ahadi atabadilika lakini Hakuna mabadiliko
Mpk najiuliza kwani wasukuma wapo hivyo au huyu wangu ana matatizo yake
Ila nampenda Msukuma wangu sana tu
Anataka domo kaya,kubwabwaja!Unashida pahali we mdada wasukuma NDO tulivyo asilimia kubwa huo ndo utashi wetu
Kadogooooo
AttentionNdi
Ndivyo alivyo hapo hamna Usukuma ndivyo alivyo,si anakutosheleza mahitaji pia na kwenye 6×6!Hilo ndio la msingi, mengine potezea
HeeeTatizo unakua na wenge sana, kama unampenda mpende achana na hayo mambo ya ukabila,,, muda sio mrefu huyo msukuma atakuacha au amekuacha tayari.
Shida yangu iko wapi hapo mkuu na Umesema wasukuma ndivyo mlivyoUnashida pahali we mdada wasukuma NDO tulivyo asilimia kubwa huo ndo utashi wetu
Attention,a tease!Attention
Hivi wamakonde na wasukuma wanafanana kitabia??Kabila lake linahusiana vp na tabia ya mtu binafsi? Watu mnaohusisha kabila la mtu na tabia zao mnahitilafu vichwani.
Kanda hiyo kwangu ni marufukuTafuta mkurya akuchangamshe kijeshi
Kanda hiyo kwangu ni marufukuTafuta mkurya akuchangamshe kijeshi
Kabila sio tabiaKanda hiyo kwangu ni marufuku
Au mnyakyusa Kupenda kula mlenda!Hivi wamakonde na wasukuma wanafanana kitabia??
Kabila lina mchango mkubwa wa kiathiri tabia ya mtu..
huwezi kuta msukuma anakata kiuno Kama mmakonde bwana we utaweka mifano yako ya Mfanano ili iweze ku link hapo