Wasukuma ndivyo mlivyo au huyu ananiigizia

Wasukuma ndivyo mlivyo au huyu ananiigizia

No reform no election
Hakuna mapenzi PASIPO kudindisha
 
Wasukuma hao labda wa ndani ndani.. mtu ambae amekaa abroad 5 yrs anakutana na kila mwanamke halafu aje bongo apapatikie pisi kali.. kiufupi hata miMi wakati nakutana nae nilifikiri atakuwa ni wale wasukuma wa shinyanga ila huyu anashindaga china mkuu sio hao uwasemao🤣🤣🤣
Tatizo lake liko hapa. Hutaweza kubadili mambo kubaliana na hicho kipengele.
 
😃😃😃 wewe ni wa pili kunambia hivyo
Kuna rafiki yangu nae aliposikia na date na msukuma alishangaa maana anasema walishindwana na mtu wake ana tabia kama hizo sasa ameolewa na mchaga mwenzie
Kuna kupetipeti na kuspoil. Lipi unataka?

Hata mimi sipendi calls za mara kwa mara au sms hili sidhani kama ntabadirika labda nianze maigizo. Na jambo hili limemsumbua sana wife ila imebidi akubali tu. Sasa ni miaka 14 ya ndoa.
 
Wengi wao ni slow leaner, vichwa vizito km uji wa juzi, hawapo romantic, nguvu nyingi akili kisoda, wengi wao wahongaji wazuri, kiufupi ni mafala fala flani hivi
 
Kuna kupetipeti na kuspoil. Lipi unataka?

Hata mimi sipendi calls za mara kwa mara au sms hili sidhani kama ntabadirika labda nianze maigizo. Na jambo hili limemsumbua sana wife ila imebidi akubali tu. Sasa ni miaka 14 ya ndoa.
Mmh
 
Wengi wao ni slow leaner, vichwa vizito km uji wa juzi, hawapo romantic, nguvu nyingi akili kisoda, wengi wao wahongaji wazuri, kiufupi ni mafala fala flani hivi
Sio mafala mkuu
 
Kajichanganye. Huyo anakutega. Wasukuma,wakurya,wazanaki,wanyantuzu,wanyamwezi wanawezana wenyewe ukiwa sio kabila lao huwawezi
 
Bhebhe nangh'o.......sisi sio kasuku kabisa.....hatuna kiherehere Cha kuongea hovyo#hapakazi tu
 
Kadogo yuko sahihi ila amesahau binadamu tena mtu mzima hawezi kuwa perfect kwa kile unachokitaka, hizo kasoro ndizo zinazoitwa "maisha" ushauri wangu (kama kaka yako, usiniulize nimejuaje kabila lako 😅), mkubali shemeji jinsi alivyo, achana na dhana ya ukabila maana naona kila mara unarejea kabila lake(utakuja kuta kuna makabila mengine wapo kama yeye na kuna wasukuma wapo tofauti na yeye), yuko hivyo kwa sababu kaumbwa hivyo na muumbaji hakosei, wewe pia uko hivyo ulivyo kwa sehemu kubwa ni mapenzi ya Mungu, kabila na mazingira pamoja na elimu yako vinakuja nje, ndani pamesukwa na msusi mahiri, tofauti zenu ndiyo uzuri wenu, rangi zinazofanana hazina mvuto kama rangi mchanganyiko, tuletee shemeji nyumbani, tuwape baraka zetu, mkazae watoto na kuishi kwa salama ktk mji wenu.
 
Wasukuma
1 si waongeaji sanaa mfano warugulu wa morogoro ukikiwasha na mwanaume hapigani atakusema huyo

2 watu wa kazi ukileta mapenzi mda wote bila kumshauri mtafte hata heka mmja Mlime hata ya kuchoma si vizuri kununua

3 si tiktoker boy kulamba lips mapenzi ya mond na zuchu

4 watu wa misimamo na usijilainisheee sana huwa wanawaza hiv huyu ataweza kazi sababu huwa wanatoka ktk mafamilia makubwa ukiambiwa kupika t ugali wa familia utamtia aibu
 
Back
Top Bottom