Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 7,107
- 10,609
No reform no erectionHutoi mkuu ni Umoja
No reform no erectionHutoi mkuu ni Umoja
Ngoja nipige kaziKama ni mumeo na mmeridhia hivyo mfuate ila kama hajakuoa tulia piga kazi
Nataka vyoteYani Mkuu ni mtihani....!
Yeye anasema kabisa kwamba jamaa yake ana Upendo, anajari......! Lakini kwake anaona haitoshi anataka mtu wa kumchatisha....!
Mna matatizo nyie
Heeewasukuma toleo la zamani 😄
Kila baada ya two weeks anakuja kunipa mkuuDudu anakupa saa ngapi wakati ni long distance relationship. Wale jamaa zako wa huko Dar bado wanaipiga
Sawa mkuu maana wewe vyote hunaUsiseme hamna chemistry tu, inaonyesha
Historically ulimtongoza,
Biologically hamna vinasaba vinavyoendana,
Physically mko mbalimbali,
Mathematically mwamba yuko apeche alolo.
Anyway Unahitaji ku-apply NRNE
Ndiyo walivyo yaani hata kutongoza hawajui vizuri😁😁😃😃😃 wewe ni wa pili kunambia hivyo
Kuna rafiki yangu nae aliposikia na date na msukuma alishangaa maana anasema walishindwana na mtu wake ana tabia kama hizo sasa ameolewa na mchaga mwenzie
Umejuaje mkuu?Sawa mkuu maana wewe vyote huna
Sauwaa dearNdiyo walivyo yaani hata kutongoza hawajui vizuri😁😁
As long as mnapendana, ishi naye hivyo hivyo ila usikubali kupika na kupakua kabla hajakuoa
🤭😂😂😂No reform no erection
🤣🤣🤣🤣🤣Furushi la kike hilo. Hangaika nalooo!
➡️➡️➡️ Hata wewe ukitaka kula mema ya nchi 👇👇👇
View attachment 3361351
Unajua mwanaume akiwa hivo ndoNi kweli ila inapendeza mkawa na kaurafiki ndani yenu
We ni msukuma??kadogo2 tatizo wasukuma cjui mnatuonaje tuu, kwani we una age gani?
Af wnzako wanalia uko wamekosa waume.
😅Nimeipenda hii 😅😅😅
Mara nyingi mwanamke wa kumchezea lazima apigiwe kila saa na dakika, ila ambaye ni wa fyucha huwa haiwi hivoMna matatizo nyie
Huyo anakupenda kadogoooo hata usihangaikeHeeee
Nafanya mnachopenda kufanyiwa kosa langu ni lipi?Unadhani sifa
Aliyesema tuishi na ninyi kwa akili aliona mbali. Hamjui nini mnataka.No reform no election
Habari zenu wana jf… hongereni kwa ibada kwa mlioenda na wengineo ambao mpo sehemu za starehe nawasalimia
Nataka nijue wasukuma ni watu wa haina hii au huyu wangu nimemuokota tu
Nipo na huyu mkaka almost 9 months lakini ila Naona kama hatuna chemistry au mimi ndio nina mawenge
1: Sio muongeaji yaani ukimwambia kitu anakujibu Sawa nimekuelewa😕 yaani unajitumisha sms ndefu halafu ni ile labda inahitaji majibizano yeye anajibu Sawa nimekuelewa
Ukimuuliza maana ake nini anacopy lile swali ulomuuliza analirudia kwako
Na ukilalamika utasikia anakwambia “umeanza” yaani hapo kamaliza aendelei 🤣
2: Hanaga story mpk wewe uanzishe kwaiyo mnaweza kujikuta ni hello, hello. Mzima .. mzima sijui wewe basi usiku mwema..
3: Kuongea na simu hapendi yaani ukiongea nae ni sekunde tena mara chache sana.. namuuliza una shida gani anasema I hate calls 😳😳 hapa ananishangaza
4: Analazimisha SANA NIkaishi nae ( ni long distance relationship) while hajanioa wala kunitolea mahali.. namueleza mimi nafanya kazi nikiacha inakuaje majibu yake wewe njoo tutafuta ingine
Kinachonifanya nibaki nae ni kwa kuwa yaani ni mpole, hawezi kuniongelesha vibay labda kunikejeri.. ana ule upendo mnapokuwa pamoja ana kujali.. kiufupi ana ile kukuthamini na kujishusha kidogo tu utasikia am sorry 😢
Ukweli wa Mungu huyu ndio mwanaume naempenda kutoka Rohoni ila mambo yake yanafanyaga nikaage mbali nae kila siku anatoa ahadi atabadilika lakini Hakuna mabadiliko
Mpk najiuliza kwani wasukuma wapo hivyo au huyu wangu ana matatizo yake
Ila nampenda Msukuma wangu sana tu
Nikwende wapi?Kwendraa