KATI YA MSUKUMA NA MSUKULE HIVI NANI NI MSUKUMANo reform no election
Habari zenu wana jf… hongereni kwa ibada kwa mlioenda na wengineo ambao mpo sehemu za starehe nawasalimia
Nataka nijue wasukuma ni watu wa haina hii au huyu wangu nimemuokota tu
Nipo na huyu mkaka almost 9 months lakini ila Naona kama hatuna chemistry au mimi ndio nina mawenge
1: Sio muongeaji yaani ukimwambia kitu anakujibu Sawa nimekuelewa😕 yaani unajitumisha sms ndefu halafu ni ile labda inahitaji majibizano yeye anajibu Sawa nimekuelewa
Ukimuuliza maana ake nini anacopy lile swali ulomuuliza analirudia kwako
Na ukilalamika utasikia anakwambia “umeanza” yaani hapo kamaliza aendelei 🤣
2: Hanaga story mpk wewe uanzishe kwaiyo mnaweza kujikuta ni hello, hello. Mzima .. mzima sijui wewe basi usiku mwema..
3: Kuongea na simu hapendi yaani ukiongea nae ni sekunde tena mara chache sana.. namuuliza una shida gani anasema I hate calls 😳😳 hapa ananishangaza
4: Analazimisha SANA NIkaishi nae ( ni long distance relationship) while hajanioa wala kunitolea mahali.. namueleza mimi nafanya kazi nikiacha inakuaje majibu yake wewe njoo tutafuta ingine
Kinachonifanya nibaki nae ni kwa kuwa yaani ni mpole, hawezi kuniongelesha vibay labda kunikejeri.. ana ule upendo mnapokuwa pamoja ana kujali.. kiufupi ana ile kukuthamini na kujishusha kidogo tu utasikia am sorry 😢
Ukweli wa Mungu huyu ndio mwanaume naempenda kutoka Rohoni ila mambo yake yanafanyaga nikaage mbali nae kila siku anatoa ahadi atabadilika lakini Hakuna mabadiliko
Mpk najiuliza kwani wasukuma wapo hivyo au huyu wangu ana matatizo yake
Ila nampenda Msukuma wangu sana tu
Ndio maana hakuna namna sasa ni kumweka wazi tu. NO REFORMS NO ERECTION.Heeee
huyo atakua ni mtu wa kaskazin😄😄 hao watu hupenda sana mambo ya ukabilaKadogo yuko sahihi ila amesahau binadamu tena mtu mzima hawezi kuwa perfect kwa kile unachokitaka, hizo kasoro ndizo zinazoitwa "maisha" ushauri wangu (kama kaka yako, usiniulize nimejuaje kabila lako 😅), mkubali shemeji jinsi alivyo, achana na dhana ya ukabila maana naona kila mara unarejea kabila lake(utakuja kuta kuna makabila mengine wapo kama yeye na kuna wasukuma wapo tofauti na yeye), yuko hivyo kwa sababu kaumbwa hivyo na muumbaji hakosei, wewe pia uko hivyo ulivyo kwa sehemu kubwa ni mapenzi ya Mungu, kabila na mazingira pamoja na elimu yako vinakuja nje, ndani pamesukwa na msusi mahiri, tofauti zenu ndiyo uzuri wenu, rangi zinazofanana hazina mvuto kama rangi mchanganyiko, tuletee shemeji nyumbani, tuwape baraka zetu, mkazae watoto na kuishi kwa salama ktk mji wenu.
Yeah🙂Ndio maana hakuna namna sasa ni kumweka wazi tu. NO REFORMS NO ERECTION.
How old is your concubine and yourselfNo reform no election
Habari zenu wana jf… hongereni kwa ibada kwa mlioenda na wengineo ambao mpo sehemu za starehe nawasalimia
Nataka nijue wasukuma ni watu wa haina hii au huyu wangu nimemuokota tu
Nipo na huyu mkaka almost 9 months lakini ila Naona kama hatuna chemistry au mimi ndio nina mawenge
1: Sio muongeaji yaani ukimwambia kitu anakujibu Sawa nimekuelewa😕 yaani unajitumisha sms ndefu halafu ni ile labda inahitaji majibizano yeye anajibu Sawa nimekuelewa
Ukimuuliza maana ake nini anacopy lile swali ulomuuliza analirudia kwako
Na ukilalamika utasikia anakwambia “umeanza” yaani hapo kamaliza aendelei 🤣
2: Hanaga story mpk wewe uanzishe kwaiyo mnaweza kujikuta ni hello, hello. Mzima .. mzima sijui wewe basi usiku mwema..
3: Kuongea na simu hapendi yaani ukiongea nae ni sekunde tena mara chache sana.. namuuliza una shida gani anasema I hate calls 😳😳 hapa ananishangaza
4: Analazimisha SANA NIkaishi nae ( ni long distance relationship) while hajanioa wala kunitolea mahali.. namueleza mimi nafanya kazi nikiacha inakuaje majibu yake wewe njoo tutafuta ingine
Kinachonifanya nibaki nae ni kwa kuwa yaani ni mpole, hawezi kuniongelesha vibay labda kunikejeri.. ana ule upendo mnapokuwa pamoja ana kujali.. kiufupi ana ile kukuthamini na kujishusha kidogo tu utasikia am sorry 😢
Ukweli wa Mungu huyu ndio mwanaume naempenda kutoka Rohoni ila mambo yake yanafanyaga nikaage mbali nae kila siku anatoa ahadi atabadilika lakini Hakuna mabadiliko
Mpk najiuliza kwani wasukuma wapo hivyo au huyu wangu ana matatizo yake
Ila nampenda Msukuma wangu sana tu
Sema unataka kipi kati ya kupetiwa kwa sms na calls za kila saa au kuwa spoiled kwa material things na kupiga kimya? Maana inaonekana huyo jamaa yako ni wa vitendo zaidi kuliko maneno ya udanganyifu
HahahaMkuu umenifanya nimecheka asubuhi asubuhi yote hii.😄
sizitaki mbichi hiziSema unataka kipi kati ya kupetiwa kwa sms na calls za kila saa au kuwa spoiled kwa material things na kupiga kimya? Maana inaonekana huyo jamaa yako ni wa vitendo zaidi kuliko maneno ya udanganyifu
Wa afu 1How old is your concubine and yourself
Kheee kwanini ufananishe wasukuma na misukule unajionaje yaaniKATI YA MSUKUMA NA MSUKULE HIVI NANI NI MSUKUMA
Endelea kula vinono mwanamke usitake makuusizitaki mbichi hizi
Ramli imeenda Chaka mkuu.. hata nukta sikaribiani nao labda rangi tu ukiniona utadhani wa huko ila sio mkuuhuyo atakua ni mtu wa kaskazin😄😄 hao watu hupenda sana mambo ya ukabila
you tooPumbavu
Au sioEndelea kula vinono mwanamke usitake makuu