Wasukuma ndivyo mlivyo au huyu ananiigizia

nenda Kwa wale wanaokua na muda wa kukutumia messages saa 24, kuongea na Simu masaa 2, ila ndiyo hakuna Ndoa.
Huyu ni Mimi ukijichanganya anga zangu utabebishwa mpaka ujione malaika ila mwisho wa mahusiano huwa ni mbaya.
 
Wasukuma ni specie tofauti ya binadamu au?

Ulishaona ama kusikia watu kabila moja wenye tabia moja?

Jibu utakalopata jiset mwenyewe kichwani mwako.

Sala zako ni kupata mwanaume mpole na mkimya kama maji ya mtungini, Jaalia akasiki kilio chako akakupa chaguo lako, sasa umeanza ngebe!

Unachokiomba huwa haukipati kikiwa kamili 100% ujue!

Ukiomba dhahabu, utatunukiwa dhahabu saazingine imeungana na jiwe, mpaka uisafishe kwanza.

Na hata ukiomba samaki, utapewa samaki pamoja na magamba yake ili umparue mwenyewe!

Chukua hiyo sasa.
 
Hakuna kitu sikipendi kwenye maisha yangu kama masms na macall.Uzuri wangu kashajua akianza tu kujibebisha namwambia nakazi ntakucheki nikimaliza ndio ntolee hiyo.Kampeni zilishaisha bado mnataka tuendelee kumwaga sera tu?!
 
Mungu akutangulie, sasa hayo unayoona ni mapungufu wewe ndio ujifunze kuyaishi maana yale ya muhim kwako anayo. Usisahau kujua asili za watu kuanzia familia koo, na kabila la mtu ili ujifunze usije baadae kusema amenisuprise
 
kadogo2 tatizo wasukuma cjui mnatuonaje tuu, kwani we una age gani?
Af wnzako wanalia uko wamekosa waume.

πŸ˜…Nimeipenda hii πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Mimi nawapenda wasukuma sana yaani ni no 1 kwenye makabila yangu 3 niliochagua kuolewa nao kama Mungu atabless
1:Wasukuma
2:Wamasai
3:Wahaya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sawa mkuu
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…