Wasukuma ndivyo mlivyo au huyu ananiigizia

Kwa uzoefu wangu mdogo kwa hili kabila la wasukuma huwa hawajui kupetipeti wala kubembeleza mwanamke, waende hivyo hivyo tu watafika
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ wewe ni wa pili kunambia hivyo
Kuna rafiki yangu nae aliposikia na date na msukuma alishangaa maana anasema walishindwana na mtu wake ana tabia kama hizo sasa ameolewa na mchaga mwenzie
 
Wasukuma sio waongeaje, wengi wao ni wapole, hawanaga vipengele, ila vipengelenavyo nyie wadada msiojielewa
Kusema ukweli huyu kaka ni mpole sana halafu ana Roho nzuri
Nina mama yangu fulani hivi walikuwa ni majirani alikuwa akimsifia sana kwamba ni Kijana mwema na hapo hakuwa akijua kuwa tuna date

So ni mtu ambae mkimya halafu sio maneno mengi that’s why Nampenda
 
Mnawapenda wanaume wa ivi ili muaendeshe mnavotaka kama Misukule MazafantaπŸ˜…πŸ˜…
 
Hakuna kitu sikipendi kwenye maisha yangu kama masms na macall.Uzuri wangu kashajua akianza tu kujibebisha namwambia nakazi ntakucheki nikimaliza ndio ntolee hiyo.Kampeni zilishaisha bado mnataka tuendelee kumwaga sera tu?!
Wauaji wakubwa
Mwanamke akikosa attention yako ndio mwanzo wa ku cheat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…