Wasukuma wana mziki mzuri sana wa asili kuzidi hata bongo flava ya sasa na singeli.

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Great Thinkers

Hawa jamaa kwenye Kuimba wana dunia yao aisee na havana mpizani hapa Tanzania.

1. Msukuma humwambii chochote kuhusu nyimbo zao za asili, tembelea uskumani kama utakuta singeli never

2. Wana wasanii wao ambao kwa kweli wanaimba vizuri sana kama Elizabeth, kisima, kadochiza, machimu lenga,budagala na wengine wengi tu

3. Nyimbo za kisukuma mbali na kuburudisha huwa zimebeba ujumbe mzuri sana lazima ujifunze kitu tofauti na singeli/Bongo flava.

5. Kama wangeimba kwa kiswahili wasingekuwa na mpinzani aisee.

6.Bongo flava ya sasa na singeli ni uchafu mtupu siyo ya kipindi kile ya kina prof jay.

Tafuta mtu akutafasirie hizi baadhi tu

View attachment 3267747.
Mkuu, n

View attachment 3267747
View attachment 3267756
Mkuu naomba wimbo wa Eliza: Ghayo Mang'ombe
 
KIla kabila wanao mziki wao wa asili tena wenye mafunzo au maonyo kuhusu jambo fulani mfano wamakonde wanao sindimba
 
Wasukuma nawaona kama wamasai na mavazi yao, pale kwa Mwamposa nashindwa kuwaelewa mienendo yao, wameuza ng'ombe na kumletea Mwamposa pesa, ajabu!!!! Akinunua dawa anataka umuuzue vidonge viwili, ni ushamba au vipi?
 
Back
Top Bottom