The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Great Thinkers
Hawa jamaa kwenye Kuimba wana dunia yao aisee na havana mpizani hapa Tanzania.
1. Msukuma humwambii chochote kuhusu nyimbo zao za asili, tembelea uskumani kama utakuta singeli never
2. Wana wasanii wao ambao kwa kweli wanaimba vizuri sana kama Elizabeth, kisima, kadochiza, machimu lenga,budagala na wengine wengi tu
3. Nyimbo za kisukuma mbali na kuburudisha huwa zimebeba ujumbe mzuri sana lazima ujifunze kitu tofauti na singeli/Bongo flava.
5. Kama wangeimba kwa kiswahili wasingekuwa na mpinzani aisee.
6.Bongo flava ya sasa na singeli ni uchafu mtupu siyo ya kipindi kile ya kina prof jay.
Tafuta mtu akutafasirie hizi baadhi tu