sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Inakuuma nini. Mbona ulaya wanaendeleza ushoga na hawajau awa.Hasa hawa wachungaji wanaovaa mavazi asili ya kisukuma - gum boots za matopeni na sketi za mashuka
View attachment 2872757
ni chuki dhidi ya mabinti ambao wapo mashuleni masomo yao yanakatishwaChuki mbaya sana
Kama binti umempenda binti ongea nae, Sio kuanza kutumia nguvu kama jogooInakuuma nini. Mbona ulaya wanaendeleza ushoga na hawajau awa.
Heshimu Mila za watu.
Usiwapangie watu cha kufanya. Kila Jamil ina utaratibu wakeKama binti umempenda binti ongea nae, Sio kuanza kutumia nguvu kama jogoo
Mila, Tamaduni na Desturi na ziheshimiwe, Zanzibar micheweni huko wana Tamaduni ya kupigana na maganda ya migomba wanatandikana uwanjani utakaemkuta unamtandika tu hujaifuatilia hio Mila?Kama binti umempenda binti ongea nae, Sio kuanza kutumia nguvu kama jogoo
Una uhakika na unachokisema?Kama binti umempenda binti ongea nae, Sio kuanza kutumia nguvu kama jogoo
Umewahi kufika huko ndani ndani Ilamata au Nyabubinza?Wasukuma wapewe semina haswa hao wa ndani ndani huko
Wasukuma wametapakaa kuna baadhi ya maeneo wasukuma walielimika waliachana na haya mambo lakini bado kuna maeneo haya mambo bado yapo;Una uhakika na unachokisema?
Hao kwenye video yako ni waigizaji wa Tik Tok wanaigiza ili wapate viewers.
Niko huku Misungwi kijijini ndani ndani huku na hakuna kitu kama hicho. Na natembea sana vijijini kwenye ngoma za kienyeji (mbina) na hayo mambo hayapo.
Watoto wa kike inabidi wasome wewe leo umkamate kisa Chagulaga mbona utapigwa mvua 30 hivi hivi unajiona?
Hayo ni mambo ya zamani miaka ya 80 huko wakati mvuvumko wa elimu na utii wa sheria ukiwa bado mdogo.
Na usiamini kila kitu unachokiona mitandaoni. Watu wako tayari kufanya cho chote ili kupata views!
Mpimbwe ni wapi?Wasukuma wametapakaa kuna baadhi ya maeneo wasukuma walielimika waliachana na haya mambo lakini bado kuna maeneo haya mambo bado yapo;
Haya mambo yanaendelea sio uigizaji ni uhalisia, Hawa ni wasukuma wanaoishi halmashauri ya mpimbwe
Kama vile Wachaga hawana mila yo yote ambayo ishapitwa na wakati. Hooovyo!Wasukuma wapewe semina haswa hao wa ndani ndani huko
Hili suala pengine limekuuma ila suluhisho sio kutetea kwamba halipo, ni kweli ni mambo yanayotia aibu hasa ukiwa unahusiana na watu hao aidha kwa kabila, undugu, eneo, n.k. ila suluhisho la kuondokana na hii aibu sio kukana bali waelimishwe.Mpimbwe ni wapi?
Maana ni suala la kuwasiliana tu na mkuu wa wilaya pamoja na Ofisa Elimu wa Wilaya basi tatizo kwisha!
Nazunguka sana vijijini mkoa wa Simiyu, Mwanza, Shinyanga pamoja na Geita na sijaona kitu kama hicho.
Kama bado hii inatokea basi ni remnants tu maana kufuta mila kabisa kabisa wakati mwingine ni kazi ngumu ndiyo maana kila kabila ukifuatilia vizuri utakuta kuna mila ambazo pengine haziendani na wakati lakini bado zinafuatwa - japo kwa kiwango kidogo..
Hakuna mila hizo kwa sasa! Usidanganye watu!Hata wasukuma walioelimika waliachana na utamaduni huu lakini kuna baadhi ya maeneo bado unaendelea kwa kisingizio cha kudumisha mila,
Kuna baadhi ya maeneo ya wasukuma bado elimu ya kuachana na haya mambo haijafika kikamilifu, unawakuta wachungaji wa kisukuma wamevaa mavazi yao ya asili sketi za mashuka na gum boots za shambani, wamemuona binti wanamzingira ili aolewe kimabavu.
Kama binti amekuvutia ongea nae, haya mambo ya kutumia mabavu kwa karne hii ni mambo ya ajabu sana
View attachment 2872757
๐๐๐๐Weeeeh haya mie ntaenda kwa mababu zangu nione hiyo chagulagaHata wasukuma walioelimika waliachana na utamaduni huu lakini kuna baadhi ya maeneo bado unaendelea kwa kisingizio cha kudumisha mila,
Kuna baadhi ya maeneo ya wasukuma bado elimu ya kuachana na haya mambo haijafika kikamilifu, unawakuta wachungaji wa kisukuma wamevaa mavazi yao ya asili sketi za mashuka na gum boots za shambani, wamemuona binti wanamzingira ili aolewe kimabavu.
Kama binti amekuvutia ongea nae, haya mambo ya kutumia mabavu kwa karne hii ni mambo ya ajabu sana
View attachment 2872757
Liniume tena? Kwa nini liniume? Kwamba mimi ndiye mlinzi wa mila za Wasukuma ama?Hili suala pengine limekuuma ila suluhisho sio kutetea kwamba halipo, ni kweli ni mambo yanayotia aibu hasa ukiwa unahusiana na watu hao aidha kwa kabila, undugu, eneo, n.k. ila suluhisho la kuondokana na hii aibu sio kukana bali waelimishwe.
Hawa ni wasukuma wanaoishi halmashauri ya mpimbwe, kibaoni, majimoto na vijiji vinginevyo,
Haya mambo yalishaisha miaka ya 80 huko! Ufanye Chagulaga sasa hivi weh! Utapigwa mvua 30 asubuhi na mapema mbona? Mwamba anachangamsha genge tu!๐๐๐๐Weeeeh haya mie ntaenda kwa mababu zangu nione hiyo chagulaga
acha fujo!Haya mambo yalishaisha miaka ya 80 huko! Ufanye Chagulaga sasa hivi weh! Utapigwa mvua 30 asubuhi na mapema mbona? Mwamba anachangamsha genge tu!