Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Ūlīgayanda gasagala sana! 😬😬😬acha fujo!
humulaga shimba ya buyenze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ūlīgayanda gasagala sana! 😬😬😬acha fujo!
humulaga shimba ya buyenze
Ndo na mie nashangaaa eeeeh.Haya mambo yalishaisha miaka ya 80 huko! Ufanye Chagulaga sasa hivi weh! Utapigwa mvua 30 asubuhi na mapema mbona? Mwamba anachangamsha genge tu!
Ndo mkoa gani huo?Hili suala pengine limekuuma ila suluhisho sio kutetea kwamba halipo, ni kweli ni mambo yanayotia aibu hasa ukiwa unahusiana na watu hao aidha kwa kabila, undugu, eneo, n.k. ila suluhisho la kuondokana na hii aibu sio kukana bali waelimishwe.
Hawa ni wasukuma wanaoishi halmashauri ya mpimbwe, kibaoni, majimoto na vijiji vinginevyo,