Nafikiri Zaidi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 516
- 684
I agree [emoji817]Walikwisha jaribu mara ya kwanza bila abiria hii ni mara ya pili.
Ili chombo kiende kasi ni lazima kiwe na umbile (mchongoko) litakalokiwezesha kupenya kwenye upepo bila msuguano mkubwa, kichwa cha treni ya jana kinapingana na upepo na kusababisha msukumo mkubwa unaopelekea nguvu kubwa kutumika na kusababisha umeme mwingi kutumika.
Kaka unamwaga mchele sio [emoji23][emoji23]Hilo popoma juaji sana, ni Cyprian Musiba huyo.
Hii si lazima. Ferrari limechongoka?Walikwisha jaribu mara ya kwanza bila abiria hii ni mara ya pili.
Ili chombo kiende kasi ni lazima kiwe na umbile (mchongoko) litakalokiwezesha kupenya kwenye upepo bila msuguano mkubwa, kichwa cha treni ya jana kinapingana na upepo na kusababisha msukumo mkubwa unaopelekea nguvu kubwa kutumika na kusababisha umeme mwingi kutumika.
Toa hoja ueleweke.Hii si lazima. Ferrari limechongoka?
Pikipiki cc 750 imechongoka?
Tuangalie na ubora wa dereva,njia,nk
Treni zipo huko nje,U- Bahn mjerumani masaa 8 ye matatu mshafikanimepanda treni mara nyingi sana nchi za mbele, tena zenye speed kama hii ya kwetu 160kmh. though zipo hadi zenye 300kmh lakini kama hii ya kwetu zipo. wengi wanaojadili hapa, ndio wanaanza kuiona treni ya aina hii leo na wanaongea kwelikweli.
120km/HrDar hadi Mwanza itakuwa masaa mangapi,je jana ilikwenda kwa speed gani jwa saa tuambiwe ili tutathmini vizuri
Kwa mwendo huo, Mwanza litafika saa moja au saa mbili usiku. Bora kupanda bus tu.Kwa umbali huo muda ulitakiwa uwe ni dakika 60 au 75 tu kama ambavyo inafanyika katika Mataifa mengine makubwa ya watu wenye akili na yaliyoendelea...
Mkuu huo muda wa SGR wa masaa mawili dar-moro ulitumiwa na mabasi ya enzi 90s tena mengine yakifika msamvu masaa mawili kasoro,sasa hizi drama za kushangilia mawili+ tena katika zama hizi ambazo technolojia ikò juu ni uzwazwa.Waliowahi kusafiri na matema, zainabu, masia, tawaqal, Ilangamoto, luckstar, kiswele....wanawashangaa.Kwa umbali huo muda ulitakiwa uwe ni dakika 60 au 75 tu kama ambavyo inafanyika katika Mataifa mengine makubwa ya watu wenye akili na yaliyoendelea...
Kivip kwa hiyo jam na speed governor zimewekwa kwa ajili ya kiki za kisiasa?hatutashangilia huo ujinga kama mshangiliavyo misafara ya watawala.umbali wa reli au barabara? hapo ndipo mnapochanganya. pili, kama basi linachukua masaa 3.5 hadi moro, treni ikichukua 2.20 si mshukuru? hata hapo mnashindwa kujipongeza kweli?
Wanakera mno kuupaka rangi uongoKuwa lengo lenu Kuu la hii Treni yenu ya SGR ni Kusafirisha hasa Mizigo na Abiria ni kama Bonus tu ya Huduma.
Halafu nikiwadharau mnanichukia!!!
Sawa kabisa. Haya yote kamweleze Kadogosa mzee.kamwulize kadogosa mzee, unatuuliza sisi kwani ndio wakandarasi tulioijenga, upande wetu sisi tunafurahi tu kwamba kumbe tunaweza kusafiri hadi moro kwa 2:20 hours badala 3 t0 4 hours za mabasi, tena mabasi yenyewe ujue yanakimbia mno kwa muda huo. binafsi nafurahi, ninachopinga ni value for money, mabehewa hayo sio ya kisasa kabisa, na yawezekana yalitupwa huko walikochukua. hata south korea walikochukua hawatumii kama hayo. kwa lugha nyingine hili ni ngalangala linalokimbia, sio treni ya kisasa hata tukiwa nje ya nchi kwa wenye treni wakisema wenye treni za kisasa hatutakiwi kunyoosha mkono kabisa.
Itoshe tu kusema nyie watz ni watu wapumbavu sana sana........yaani linater moja likileta taarifa zake mnadandiadandia tu hovyo hovyo. Sasa kitu ni majaribio mkitakaje?!!!Kwa speed hiyo kama ni kweli, huu utakuwa ni mradi uliofeli kabla haujaanza kufanya kazi....