Waswahili bwana yaani Treni ya SGR Dar hadi Moro ni masaa 2 na dakika 20 mnafurahi na kushangilia!

Mzee ndio mana uliambiwa ni majaribio sasa mbona una crush mapema hivyo

Ndio tunajua nchi yetu bado lakini ukumbuke this is one of the major/biggest project ... just Incase hiyo speed + muda uliotumika utaendela hivyo apo ndio tutasema neno.
Walikwisha jaribu mara ya kwanza bila abiria hii ni mara ya pili.
Ili chombo kiende kasi ni lazima kiwe na umbile (mchongoko) litakalokiwezesha kupenya kwenye upepo bila msuguano mkubwa, kichwa cha treni ya jana kinapingana na upepo na kusababisha msukumo mkubwa unaopelekea nguvu kubwa kutumika na kusababisha umeme mwingi kutumika.
 
Kwa umbali huo muda ulitakiwa uwe ni dakika 60 au 75 tu kama ambavyo inafanyika katika Mataifa mengine makubwa ya Watu wenye Akili na yaliyoendelea.

Yaani Dar hadi Moro zimetumika Saa 2 na dakika 20 halafu Mizuzu tokea jana na leo inashangilia tu wakati kwa wenye hizo Treni za SGR katika Mataifa mengine wanaotumia Saa 3 tu kwa Umbali wa mfano wa kutoka Dar es Salaam hadi Singida Wanatucheka na Kutudharau mno.

GENTAMYCINE nikisikia au niliambiwa Treni ya SGR itatumia Saa 2 na dakika 30 au hata na dakika 45 kidogo nitaona imefanikiwa ila hili la kutoka Dar hadi Moro kutumia Saa 2 na dakika 20 naona ni Kufeli kwa Mradi na Mpango kwa Maendeleo ya Taifa, Muda na Uimarishwaji wa Uchumi wa Tanzania na Watanzania.

Haya Team Kusifu Upuuzi na Wanafiki karibuni sana katika Kunipinga ili mlipwe Buku Saba Saba zenu, mlambe Uteuzi na Maisha yaendelee ila wenye Akili Kubwa na tusiopenda Upuuzi na Unafiki ndiyo tumeshafunguka.
kama kweli tumesafiri kwa masaa 2:20, hayo ni maendeleo makubwa sana kwa nchi kama Tanzania. tunatakiwa kumshukuru Mungu. pamoja na kwamba nchi kadhaa ulaya speed yao ipo hadi 300kmh, lakini kuna route nyingi tu nchi za ulaya train zao speed ipo 155kmh, 185kmh hadi 300. kwahiyo kama hawatakuwa waswahili kuchelewa na kutofuata muda, unaweza kuishi morogoro ukafanya kazi dsm, kwasababu hata sasa kuna watu wanatoka nyumbani hapa dsm hadi kufika posta wametumia masaa mawili hadi matatu kwasababu ya foleni.
 
Mimi kutoka Dar hadi moro kwa gari natumia masaa mawili tu. Ina maana ninafika mapema kuliko treni ya umeme wa bongo. Kwanza nasikia umeme ulikatika katikati ya safari. Kazi kwelikweli
Treni ya umeme sio sawa na chumbani kwako ambapo umeme ukikatika unakua unajua,humo kuna Auto Backup na wala huwezi kujua kama umeme ulikatika,

Anyway,wewe umesikilia wapi kua umeme ulikatika katikati ya safari?
 
Kwa umeme huu wa 233 mega watt, kaka uliamini kabisa lile konokono lingetembea kwa dk 60 mpaka 70 DAR TO MORO?, Hii miradi ya usafiri unaotumia umeme hakuna hata mmoja utafanikiwa mzee......Tanzania bado hatuna umeme wa kurun hivi vitu. Imagine jana unaambiwa umeme ulikata mara mbili wakiwa njiani hivo kupelekea treni kusimama.🚮🚮🚮🚮🚮
 
Anaambiwa na nani mkuu?
 
Treni ya umeme sio sawa na chumbani kwako ambapo umeme ukikatika unakua unajua,humo kuna Auto Backup na wala huwezi kujua kama umeme ulikatika,

Anyway,wewe umesikilia wapi kua umeme ulikatika katikati ya safari?
Taarifa ilitolewa umeme ulikatika na ikabidi speed ipungue japo abiria hawakuona hilo.
 
Treni ya umeme sio sawa na chumbani kwako ambapo umeme ukikatika unakua unajua,humo kuna Auto Backup na wala huwezi kujua kama umeme ulikatika,

Anyway,wewe umesikilia wapi kua umeme ulikatika katikati ya safari?
Umeme ulikatika ndio na watu wakajua maana behewa moja lilipiga short ikabidi speed ipunguzwe waangalie mitambo yao ya umeme.
 
Kwa umbali huo muda ulitakiwa uwe ni dakika 60 au 75 tu kama ambavyo inafanyika katika Mataifa mengine makubwa ya Watu wenye Akili na yaliyoendelea.

Yaani Dar hadi Moro zimetumika Saa 2 na dakika 20 halafu Mizuzu tokea jana na leo inashangilia tu wakati kwa wenye hizo Treni za SGR katika Mataifa mengine wanaotumia Saa 3 tu kwa Umbali wa mfano wa kutoka Dar es Salaam hadi Singida Wanatucheka na Kutudharau mno.

GENTAMYCINE nikisikia au niliambiwa Treni ya SGR itatumia Saa 2 na dakika 30 au hata na dakika 45 kidogo nitaona imefanikiwa ila hili la kutoka Dar hadi Moro kutumia Saa 2 na dakika 20 naona ni Kufeli kwa Mradi na Mpango kwa Maendeleo ya Taifa, Muda na Uimarishwaji wa Uchumi wa Tanzania na Watanzania.

Haya Team Kusifu Upuuzi na Wanafiki karibuni sana katika Kunipinga ili mlipwe Buku Saba Saba zenu, mlambe Uteuzi na Maisha yaendelee ila wenye Akili Kubwa na tusiopenda Upuuzi na Unafiki ndiyo tumeshafunguka.
Naunga mkono hoja
 
Kwa umeme huu wa 233 mega watt, kaka uliamini kabisa lile konokono lingetembea kwa dk 60 mpaka 70 DAR TO MORO?, Hii miradi ya usafiri unaotumia umeme hakuna hata mmoja utafanikiwa mzee......Tanzania bado hatuna umeme wa kurun hivi vitu. Imagine jana unaambiwa umeme ulikata mara mbili wakiwa njiani hivo kupelekea treni kusimama.🚮🚮🚮🚮🚮
si uhamie burundi bro kama umekata tamaa kiasi hicho.
 
Back
Top Bottom