Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Walikwisha jaribu mara ya kwanza bila abiria hii ni mara ya pili.Mzee ndio mana uliambiwa ni majaribio sasa mbona una crush mapema hivyo
Ndio tunajua nchi yetu bado lakini ukumbuke this is one of the major/biggest project ... just Incase hiyo speed + muda uliotumika utaendela hivyo apo ndio tutasema neno.
Ili chombo kiende kasi ni lazima kiwe na umbile (mchongoko) litakalokiwezesha kupenya kwenye upepo bila msuguano mkubwa, kichwa cha treni ya jana kinapingana na upepo na kusababisha msukumo mkubwa unaopelekea nguvu kubwa kutumika na kusababisha umeme mwingi kutumika.