Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Walikwisha jaribu mara ya kwanza bila abiria hii ni mara ya pili.Mzee ndio mana uliambiwa ni majaribio sasa mbona una crush mapema hivyo
Ndio tunajua nchi yetu bado lakini ukumbuke this is one of the major/biggest project ... just Incase hiyo speed + muda uliotumika utaendela hivyo apo ndio tutasema neno.
kama kweli tumesafiri kwa masaa 2:20, hayo ni maendeleo makubwa sana kwa nchi kama Tanzania. tunatakiwa kumshukuru Mungu. pamoja na kwamba nchi kadhaa ulaya speed yao ipo hadi 300kmh, lakini kuna route nyingi tu nchi za ulaya train zao speed ipo 155kmh, 185kmh hadi 300. kwahiyo kama hawatakuwa waswahili kuchelewa na kutofuata muda, unaweza kuishi morogoro ukafanya kazi dsm, kwasababu hata sasa kuna watu wanatoka nyumbani hapa dsm hadi kufika posta wametumia masaa mawili hadi matatu kwasababu ya foleni.Kwa umbali huo muda ulitakiwa uwe ni dakika 60 au 75 tu kama ambavyo inafanyika katika Mataifa mengine makubwa ya Watu wenye Akili na yaliyoendelea.
Yaani Dar hadi Moro zimetumika Saa 2 na dakika 20 halafu Mizuzu tokea jana na leo inashangilia tu wakati kwa wenye hizo Treni za SGR katika Mataifa mengine wanaotumia Saa 3 tu kwa Umbali wa mfano wa kutoka Dar es Salaam hadi Singida Wanatucheka na Kutudharau mno.
GENTAMYCINE nikisikia au niliambiwa Treni ya SGR itatumia Saa 2 na dakika 30 au hata na dakika 45 kidogo nitaona imefanikiwa ila hili la kutoka Dar hadi Moro kutumia Saa 2 na dakika 20 naona ni Kufeli kwa Mradi na Mpango kwa Maendeleo ya Taifa, Muda na Uimarishwaji wa Uchumi wa Tanzania na Watanzania.
Haya Team Kusifu Upuuzi na Wanafiki karibuni sana katika Kunipinga ili mlipwe Buku Saba Saba zenu, mlambe Uteuzi na Maisha yaendelee ila wenye Akili Kubwa na tusiopenda Upuuzi na Unafiki ndiyo tumeshafunguka.
Treni ya umeme sio sawa na chumbani kwako ambapo umeme ukikatika unakua unajua,humo kuna Auto Backup na wala huwezi kujua kama umeme ulikatika,Mimi kutoka Dar hadi moro kwa gari natumia masaa mawili tu. Ina maana ninafika mapema kuliko treni ya umeme wa bongo. Kwanza nasikia umeme ulikatika katikati ya safari. Kazi kwelikweli
Lini hio ulienda Dar-Moro masaa mawili?Mimi kutoka Dar hadi moro kwa gari natumia masaa mawili tu. Ina maana ninafika mapema kuliko treni ya umeme wa bongo. Kwanza nasikia umeme ulikatika katikati ya safari. Kazi kwelikweli
SauliHuo muda si ni sawa na unaotumiwa na mabasi tu.
Anaambiwa na nani mkuu?Kwa umeme huu wa 233 mega watt, kaka uliamini kabisa lile konokono lingetembea kwa dk 60 mpaka 70 DAR TO MORO?, Hii miradi ya usafiri unaotumia umeme hakuna hata mmoja utafanikiwa mzee......Tanzania bado hatuna umeme wa kurun hivi vitu. Imagine jana unaambiwa umeme ulikata mara mbili wakiwa njiani hivo kupelekea treni kusimama.๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
Taarifa ilitolewa umeme ulikatika na ikabidi speed ipungue japo abiria hawakuona hilo.Treni ya umeme sio sawa na chumbani kwako ambapo umeme ukikatika unakua unajua,humo kuna Auto Backup na wala huwezi kujua kama umeme ulikatika,
Anyway,wewe umesikilia wapi kua umeme ulikatika katikati ya safari?
Umeme ulikatika ndio na watu wakajua maana behewa moja lilipiga short ikabidi speed ipunguzwe waangalie mitambo yao ya umeme.Treni ya umeme sio sawa na chumbani kwako ambapo umeme ukikatika unakua unajua,humo kuna Auto Backup na wala huwezi kujua kama umeme ulikatika,
Anyway,wewe umesikilia wapi kua umeme ulikatika katikati ya safari?
Basi la Champion Dar - Dodoma " Dodoma Wadeka" lilikuwa linatumia saa 2 tu Dar - Morogoro ๐๐Lini hio ulienda Dar-Moro masaa mawili?
Mgao umekoma wapi?? Ilihali hata Sasa hivi mwanza baadhi ya mitaa hakuna umeme?Hehe naona Nay Sayers baada ya mtambo kuwashwa na mgao kukoma sasa mnageukia SGR[emoji3] Poleni sana. Hamna hata haya na majina ya dawa za kaswende
Hapa nilipo kwenyewe morogoro mjini hakuna umeme. Sijui anaongea nini huyo chawaMgao umekoma wapi?? Ilihali hata Sasa hivi mwanza baadhi ya mitaa hakuna umeme?
Hilo popoma juaji sana, ni Cyprian Musiba huyo.Mzee ndio mana uliambiwa ni majaribio sasa mbona una crush mapema hivyo
Ndio tunajua nchi yetu bado lakini ukumbuke this is one of the major/biggest project ... just Incase hiyo speed + muda uliotumika utaendela hivyo apo ndio tutasema neno.
Naunga mkono hojaKwa umbali huo muda ulitakiwa uwe ni dakika 60 au 75 tu kama ambavyo inafanyika katika Mataifa mengine makubwa ya Watu wenye Akili na yaliyoendelea.
Yaani Dar hadi Moro zimetumika Saa 2 na dakika 20 halafu Mizuzu tokea jana na leo inashangilia tu wakati kwa wenye hizo Treni za SGR katika Mataifa mengine wanaotumia Saa 3 tu kwa Umbali wa mfano wa kutoka Dar es Salaam hadi Singida Wanatucheka na Kutudharau mno.
GENTAMYCINE nikisikia au niliambiwa Treni ya SGR itatumia Saa 2 na dakika 30 au hata na dakika 45 kidogo nitaona imefanikiwa ila hili la kutoka Dar hadi Moro kutumia Saa 2 na dakika 20 naona ni Kufeli kwa Mradi na Mpango kwa Maendeleo ya Taifa, Muda na Uimarishwaji wa Uchumi wa Tanzania na Watanzania.
Haya Team Kusifu Upuuzi na Wanafiki karibuni sana katika Kunipinga ili mlipwe Buku Saba Saba zenu, mlambe Uteuzi na Maisha yaendelee ila wenye Akili Kubwa na tusiopenda Upuuzi na Unafiki ndiyo tumeshafunguka.
Unakuta mtu hana hata utaalamu wa Treni ya umeme inavyo operate ila mradi tu na yeye alaumu kitu!Ukisoma wachangiaji humu kweli utaamini ule utafiti kuwa Watanzania ni miongoni mwa watu wasio na furaha duniani.
Watu wamejaa sonona.
si uhamie burundi bro kama umekata tamaa kiasi hicho.Kwa umeme huu wa 233 mega watt, kaka uliamini kabisa lile konokono lingetembea kwa dk 60 mpaka 70 DAR TO MORO?, Hii miradi ya usafiri unaotumia umeme hakuna hata mmoja utafanikiwa mzee......Tanzania bado hatuna umeme wa kurun hivi vitu. Imagine jana unaambiwa umeme ulikata mara mbili wakiwa njiani hivo kupelekea treni kusimama.๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ