Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
nimepanda treni mara nyingi sana nchi za mbele, tena zenye speed kama hii ya kwetu 160kmh. though zipo hadi zenye 300kmh lakini kama hii ya kwetu zipo. wengi wanaojadili hapa, ndio wanaanza kuiona treni ya aina hii leo na wanaongea kwelikweli.Unakuta mtu hana hata utaalamu wa Treni ya umeme inavyo operate ila mradi tu na yeye alaumu kitu!
Stress za maisha ni mbaya sana,
ππ
Haha ha ha,Hehe naona Nay Sayers baada ya mtambo kuwashwa na mgao kukoma sasa mnageukia SGR[emoji3] Poleni sana. Hamna hata haya na majina ya dawa za kaswende
Unapojaribu kitu then unatakiwa kufanya majaribio katika viwango vya juu kushinda yale matarajio. Mfano tunataka kutest train ya mwendo kasi, tumetarajia kutumia dakika 75 kutoka Dar hadi Moro, then kwenye testing inatakiwa train ifike Morogoro kati ya dakika 45hadi 65 ahead of the expected time ili tuseme kweli malengo yetu yalikuwa ni kutest speed na tumefanikiwa sasa hapo hata ukiwaambia raia kuwa tutawafikisha Morogoro kutoka Dar kwa dakika 75 wanainchi watayaona hayo matokeo ya kweli ya kufika Morogoro mapema hivyo.Kwamba haya majaribio, ikionekana tumefeli tunang'oa reli? kwamba ni majaribio haimaanisha kuwa makosa yanatakiwa yawepo..!!
Sasa wanachojaribu ni kitu gani halafu wewe lile train kwa jinsi ulivyoliona ni la kwenda kasi ya bullet train [emoji581]?Ni hatua za majaribio! Huwezi kwenda at a bullet speed on test!
Kwa umbali huo muda ulitakiwa uwe ni dakika 60 au 75 tu kama ambavyo inafanyika katika Mataifa mengine makubwa ya Watu wenye Akili na yaliyoendelea.
Yaani Dar hadi Moro zimetumika Saa 2 na dakika 20 halafu Mizuzu tokea jana na leo inashangilia tu wakati kwa wenye hizo Treni za SGR katika Mataifa mengine wanaotumia Saa 3 tu kwa Umbali wa mfano wa kutoka Dar es Salaam hadi Singida Wanatucheka na Kutudharau mno.
GENTAMYCINE nikisikia au niliambiwa Treni ya SGR itatumia Saa 2 na dakika 30 au hata na dakika 45 kidogo nitaona imefanikiwa ila hili la kutoka Dar hadi Moro kutumia Saa 2 na dakika 20 naona ni Kufeli kwa Mradi na Mpango kwa Maendeleo ya Taifa, Muda na Uimarishwaji wa Uchumi wa Tanzania na Watanzania.
Haya Team Kusifu Upuuzi na Wanafiki karibuni sana katika Kunipinga ili mlipwe Buku Saba Saba zenu, mlambe Uteuzi na Maisha yaendelee ila wenye Akili Kubwa na tusiopenda Upuuzi na Unafiki ndiyo tumeshafunguka hivi na tuko tayari kwa lolote kama ni la mpango wa Mungu au lina Baraka zake.
Hata mimi ninashangazwa mkuu. Wanaotetea wajitafakariKwa umbali huo muda ulitakiwa uwe ni dakika 60 au 75 tu kama ambavyo inafanyika katika Mataifa mengine makubwa ya Watu wenye Akili na yaliyoendelea.
Yaani Dar hadi Moro zimetumika Saa 2 na dakika 20 halafu Mizuzu tokea jana na leo inashangilia tu wakati kwa wenye hizo Treni za SGR katika Mataifa mengine wanaotumia Saa 3 tu kwa Umbali wa mfano wa kutoka Dar es Salaam hadi Singida Wanatucheka na Kutudharau mno.
GENTAMYCINE nikisikia au niliambiwa Treni ya SGR itatumia Saa 2 na dakika 30 au hata na dakika 45 kidogo nitaona imefanikiwa ila hili la kutoka Dar hadi Moro kutumia Saa 2 na dakika 20 naona ni Kufeli kwa Mradi na Mpango kwa Maendeleo ya Taifa, Muda na Uimarishwaji wa Uchumi wa Tanzania na Watanzania.
Haya Team Kusifu Upuuzi na Wanafiki karibuni sana katika Kunipinga ili mlipwe Buku Saba Saba zenu, mlambe Uteuzi na Maisha yaendelee ila wenye Akili Kubwa na tusiopenda Upuuzi na Unafiki ndiyo tumeshafunguka.
Lini? Sgr hio imetumia 2hrs juzi. Hilo bus au gari ilitumia masaa mawili lini?Basi la Champion Dar - Dodoma " Dodoma Wadeka" lilikuwa linatumia saa 2 tu Dar - Morogoro ππ
SGR sio zile train za mwendo kasi kama bullet train ya japan, train Γ grande vitesse (TGV) ya ufaransa au zile train za mwendo kasi za china. Hizo ni train za speed kali 300 km/saa au zaidi. Hii yetu ni reli ya SGR. Mwendo wa juu kabisa ni kama 160 km/ saa. Kwa kulinganisha utalinganisha na ile SGR ya kenya. Speed zitapitana kutegemea na mtengenezaji wa engine labda na mabehewa.Kwa umbali huo muda ulitakiwa uwe ni dakika 60 au 75 tu kama ambavyo inafanyika katika Mataifa mengine makubwa ya Watu wenye Akili na yaliyoendelea.
Yaani Dar hadi Moro zimetumika Saa 2 na dakika 20 halafu Mizuzu tokea jana na leo inashangilia tu wakati kwa wenye hizo Treni za SGR katika Mataifa mengine wanaotumia Saa 3 tu kwa Umbali wa mfano wa kutoka Dar es Salaam hadi Singida Wanatucheka na Kutudharau mno.
GENTAMYCINE nikisikia au niliambiwa Treni ya SGR itatumia Saa 2 na dakika 30 au hata na dakika 45 kidogo nitaona imefanikiwa ila hili la kutoka Dar hadi Moro kutumia Saa 2 na dakika 20 naona ni Kufeli kwa Mradi na Mpango kwa Maendeleo ya Taifa, Muda na Uimarishwaji wa Uchumi wa Tanzania na Watanzania.
Haya Team Kusifu Upuuzi na Wanafiki karibuni sana katika Kunipinga ili mlipwe Buku Saba Saba zenu, mlambe Uteuzi na Maisha yaendelee ila wenye Akili Kubwa na tusiopenda Upuuzi na Unafiki ndiyo tumeshafunguka.
Kwani umbali wa Dar hadi Morogoro ni kilomita ngapi? Kama treni ingekuwa imekwenda 160 km/h isingechukua hayo masaa 2 na dakika 20 (kama ni kweli ilichukua muda huo).nimepanda treni mara nyingi sana nchi za mbele, tena zenye speed kama hii ya kwetu 160kmh. though zipo hadi zenye 300kmh lakini kama hii ya kwetu zipo. wengi wanaojadili hapa, ndio wanaanza kuiona treni ya aina hii leo na wanaongea kwelikweli.
Kutoka Dar mpaka Mwanza si walisema itakua masaa 7? Sasa tutegemee masaa 12Kwa umbali huo muda ulitakiwa uwe ni dakika 60 au 75 tu kama ambavyo inafanyika katika Mataifa mengine makubwa ya Watu wenye Akili na yaliyoendelea.
Yaani Dar hadi Moro zimetumika Saa 2 na dakika 20 halafu Mizuzu tokea jana na leo inashangilia tu wakati kwa wenye hizo Treni za SGR katika Mataifa mengine wanaotumia Saa 3 tu kwa Umbali wa mfano wa kutoka Dar es Salaam hadi Singida Wanatucheka na Kutudharau mno.
GENTAMYCINE nikisikia au niliambiwa Treni ya SGR itatumia Saa 2 na dakika 30 au hata na dakika 45 kidogo nitaona imefanikiwa ila hili la kutoka Dar hadi Moro kutumia Saa 2 na dakika 20 naona ni Kufeli kwa Mradi na Mpango kwa Maendeleo ya Taifa, Muda na Uimarishwaji wa Uchumi wa Tanzania na Watanzania.
Haya Team Kusifu Upuuzi na Wanafiki karibuni sana katika Kunipinga ili mlipwe Buku Saba Saba zenu, mlambe Uteuzi na Maisha yaendelee ila wenye Akili Kubwa na tusiopenda Upuuzi na Unafiki ndiyo tumeshafunguka.
Mi nimefurahi sana kutumia masaa mawili kwenda moro maana Kwa basi ni zaidi ya masaa 3 mpaka manne. Pia Ile Raha ya treni kuzunguka kwenda kwenye mgahawaha na nafasi kubwa ni bonge la advantageUkisoma wachangiaji humu kweli utaamini ule utafiti kuwa Watanzania ni miongoni mwa watu wasio na furaha duniani.
Watu wamejaa sonona.
Nimepanda sana " Dodoma Wadeka" kuanzia 2003 hadi 2007Lini? Sgr hio imetumia 2hrs juzi. Hilo bus au gari ilitumia masaa mawili lini?
Hivi ina maana kama itabeba mabehewa mengi zaidi na spidi nayo itapungua eh na pengine kutumia kama masaa manne hivi?SGR sio zile train za mwendo kasi kama bullet train ya japan, train Γ grande vitesse (TGV) ya ufaransa au zile train za mwendo kasi za china. Hizo ni train za speed kali 300 km/saa au zaidi. Hii yetu ni reli ya SGR. Mwendo wa juu kabisa ni kama 160 km/ saa. Kwa kulinganisha utalinganisha na ile SGR ya kenya. Speed zitapitana kutegemea na mtengenezaji wa engine labda na mabehewa.
Mkuu mbona huna Jema π€Kwa umbali huo muda ulitakiwa uwe ni dakika 60 au 75 tu kama ambavyo inafanyika katika Mataifa mengine makubwa ya Watu wenye Akili na yaliyoendelea.