Waswahili bwana yaani Treni ya SGR Dar hadi Moro ni masaa 2 na dakika 20 mnafurahi na kushangilia!

Unakuta mtu hana hata utaalamu wa Treni ya umeme inavyo operate ila mradi tu na yeye alaumu kitu!
Stress za maisha ni mbaya sana,

😀😀
nimepanda treni mara nyingi sana nchi za mbele, tena zenye speed kama hii ya kwetu 160kmh. though zipo hadi zenye 300kmh lakini kama hii ya kwetu zipo. wengi wanaojadili hapa, ndio wanaanza kuiona treni ya aina hii leo na wanaongea kwelikweli.
 
Hii project ilikuwa ni ya magufuli. Sasa kama aliyeianzisha ameshafariki, then usitegemee itakamilika kama vile ilivyotakiwa kukamilishwa kwa maana ya kwamba ni yeye tu magufuli ndie alikuwa anajua namna ingekwenda na kuikamilisha.

Kwanza hiyo train kwa kuitazama tu sio ya mwendo kasi kama zile ninazozijua.

Na ukifuatilia mataifa mengi ambayo yanatengeneza miradi ya train za mwendo kasi miundo mbinu huwa inakuwa tofauti kiujenzi ukilinganisha na nilichokiona hapo kwenye train hii ya hawa matapeli.

Kimsingi watu hawapo serious na maswala ya maendeleo wanahisi wanashindana au ni michezo ya maigizo kumbe maendeleo ni swala linalotaka ubunifu, tathimini, fikra chanya na maono ya mbali sana.

Sasa kwa ushamba wa watu waliopo serikalini wengi wao wakiwa ni wazee, watu wasio na exposure ya Maisha maana wamekulia maeneo ya vijijini na hata kama walikulia mijini basi hawakuwa exposed na maisha ya kisasa zaidi ya kuyasikia tu.

Kuna haja ya kujua nini kifanyike next kama taifa hakuna kitu tutafanya for the next 200 years tukiendelea achia watu washamba kama hawa kuendelea kuhodhi mifumo ya serikali na utendaji.
 
Kwamba haya majaribio, ikionekana tumefeli tunang'oa reli? kwamba ni majaribio haimaanisha kuwa makosa yanatakiwa yawepo..!!
Unapojaribu kitu then unatakiwa kufanya majaribio katika viwango vya juu kushinda yale matarajio. Mfano tunataka kutest train ya mwendo kasi, tumetarajia kutumia dakika 75 kutoka Dar hadi Moro, then kwenye testing inatakiwa train ifike Morogoro kati ya dakika 45hadi 65 ahead of the expected time ili tuseme kweli malengo yetu yalikuwa ni kutest speed na tumefanikiwa sasa hapo hata ukiwaambia raia kuwa tutawafikisha Morogoro kutoka Dar kwa dakika 75 wanainchi watayaona hayo matokeo ya kweli ya kufika Morogoro mapema hivyo.
 
Kwa umbali huo muda ulitakiwa uwe ni dakika 60 au 75 tu kama ambavyo inafanyika katika Mataifa mengine makubwa ya Watu wenye Akili na yaliyoendelea.

Yaani Dar hadi Moro zimetumika Saa 2 na dakika 20 halafu Mizuzu tokea jana na leo inashangilia tu wakati kwa wenye hizo Treni za SGR katika Mataifa mengine wanaotumia Saa 3 tu kwa Umbali wa mfano wa kutoka Dar es Salaam hadi Singida Wanatucheka na Kutudharau mno.

GENTAMYCINE nikisikia au niliambiwa Treni ya SGR itatumia Saa 2 na dakika 30 au hata na dakika 45 kidogo nitaona imefanikiwa ila hili la kutoka Dar hadi Moro kutumia Saa 2 na dakika 20 naona ni Kufeli kwa Mradi na Mpango kwa Maendeleo ya Taifa, Muda na Uimarishwaji wa Uchumi wa Tanzania na Watanzania.

Haya Team Kusifu Upuuzi na Wanafiki karibuni sana katika Kunipinga ili mlipwe Buku Saba Saba zenu, mlambe Uteuzi na Maisha yaendelee ila wenye Akili Kubwa na tusiopenda Upuuzi na Unafiki ndiyo tumeshafunguka hivi na tuko tayari kwa lolote kama ni la mpango wa Mungu au lina Baraka zake.

Lucas mwashambwa the leading ass licker humu JF aje hapa haraka.
 
Kwa umbali huo muda ulitakiwa uwe ni dakika 60 au 75 tu kama ambavyo inafanyika katika Mataifa mengine makubwa ya Watu wenye Akili na yaliyoendelea.

Yaani Dar hadi Moro zimetumika Saa 2 na dakika 20 halafu Mizuzu tokea jana na leo inashangilia tu wakati kwa wenye hizo Treni za SGR katika Mataifa mengine wanaotumia Saa 3 tu kwa Umbali wa mfano wa kutoka Dar es Salaam hadi Singida Wanatucheka na Kutudharau mno.

GENTAMYCINE nikisikia au niliambiwa Treni ya SGR itatumia Saa 2 na dakika 30 au hata na dakika 45 kidogo nitaona imefanikiwa ila hili la kutoka Dar hadi Moro kutumia Saa 2 na dakika 20 naona ni Kufeli kwa Mradi na Mpango kwa Maendeleo ya Taifa, Muda na Uimarishwaji wa Uchumi wa Tanzania na Watanzania.

Haya Team Kusifu Upuuzi na Wanafiki karibuni sana katika Kunipinga ili mlipwe Buku Saba Saba zenu, mlambe Uteuzi na Maisha yaendelee ila wenye Akili Kubwa na tusiopenda Upuuzi na Unafiki ndiyo tumeshafunguka.
Hata mimi ninashangazwa mkuu. Wanaotetea wajitafakari
 
Utakuta anaesimamia hii treni hajawahi fika ata ujerumani na kupanda hizo treni Ila wanaruka na beat tu. Jaman muwapeleke ata study tua viongozi wote wa apo TRC wakazione pengine wataelewa nini tunahitaji watanzania
 
Kwa umbali huo muda ulitakiwa uwe ni dakika 60 au 75 tu kama ambavyo inafanyika katika Mataifa mengine makubwa ya Watu wenye Akili na yaliyoendelea.

Yaani Dar hadi Moro zimetumika Saa 2 na dakika 20 halafu Mizuzu tokea jana na leo inashangilia tu wakati kwa wenye hizo Treni za SGR katika Mataifa mengine wanaotumia Saa 3 tu kwa Umbali wa mfano wa kutoka Dar es Salaam hadi Singida Wanatucheka na Kutudharau mno.

GENTAMYCINE nikisikia au niliambiwa Treni ya SGR itatumia Saa 2 na dakika 30 au hata na dakika 45 kidogo nitaona imefanikiwa ila hili la kutoka Dar hadi Moro kutumia Saa 2 na dakika 20 naona ni Kufeli kwa Mradi na Mpango kwa Maendeleo ya Taifa, Muda na Uimarishwaji wa Uchumi wa Tanzania na Watanzania.

Haya Team Kusifu Upuuzi na Wanafiki karibuni sana katika Kunipinga ili mlipwe Buku Saba Saba zenu, mlambe Uteuzi na Maisha yaendelee ila wenye Akili Kubwa na tusiopenda Upuuzi na Unafiki ndiyo tumeshafunguka.
SGR sio zile train za mwendo kasi kama bullet train ya japan, train à grande vitesse (TGV) ya ufaransa au zile train za mwendo kasi za china. Hizo ni train za speed kali 300 km/saa au zaidi. Hii yetu ni reli ya SGR. Mwendo wa juu kabisa ni kama 160 km/ saa. Kwa kulinganisha utalinganisha na ile SGR ya kenya. Speed zitapitana kutegemea na mtengenezaji wa engine labda na mabehewa.
 
nimepanda treni mara nyingi sana nchi za mbele, tena zenye speed kama hii ya kwetu 160kmh. though zipo hadi zenye 300kmh lakini kama hii ya kwetu zipo. wengi wanaojadili hapa, ndio wanaanza kuiona treni ya aina hii leo na wanaongea kwelikweli.
Kwani umbali wa Dar hadi Morogoro ni kilomita ngapi? Kama treni ingekuwa imekwenda 160 km/h isingechukua hayo masaa 2 na dakika 20 (kama ni kweli ilichukua muda huo).
 
Kwa umbali huo muda ulitakiwa uwe ni dakika 60 au 75 tu kama ambavyo inafanyika katika Mataifa mengine makubwa ya Watu wenye Akili na yaliyoendelea.

Yaani Dar hadi Moro zimetumika Saa 2 na dakika 20 halafu Mizuzu tokea jana na leo inashangilia tu wakati kwa wenye hizo Treni za SGR katika Mataifa mengine wanaotumia Saa 3 tu kwa Umbali wa mfano wa kutoka Dar es Salaam hadi Singida Wanatucheka na Kutudharau mno.

GENTAMYCINE nikisikia au niliambiwa Treni ya SGR itatumia Saa 2 na dakika 30 au hata na dakika 45 kidogo nitaona imefanikiwa ila hili la kutoka Dar hadi Moro kutumia Saa 2 na dakika 20 naona ni Kufeli kwa Mradi na Mpango kwa Maendeleo ya Taifa, Muda na Uimarishwaji wa Uchumi wa Tanzania na Watanzania.

Haya Team Kusifu Upuuzi na Wanafiki karibuni sana katika Kunipinga ili mlipwe Buku Saba Saba zenu, mlambe Uteuzi na Maisha yaendelee ila wenye Akili Kubwa na tusiopenda Upuuzi na Unafiki ndiyo tumeshafunguka.
Kutoka Dar mpaka Mwanza si walisema itakua masaa 7? Sasa tutegemee masaa 12
 
Ukitaka kujua hii project imevamiwa na majitu yasiyo na exposure ya Maisha ya kisasa yaliyopo serikalini jiulize tokea lini bullet train ikawa na Hostess (wahudumu wa kike) on board?

Sehemu ya kwenda dakika 60 hadi 75 ina haja gani ya wahudumu, hiyo si ni kuongeza tu gharama za uendeshaji wa kampuni na kuibia serikali?

Bullet train [emoji583] ya kisasa yenye mwendo usiopungua 350km/h kutoka hapa Dar hadi hapo Morogoro ni sawa na abiria wa daladala ya kawaida kutoka tegeta kwenda posta so sidhani kwa muda huo na kasi hiyo unahitaji kuwa na wahudumu wa vinywaji, chakula sijui na vitu gani maana hata chooni kwenyewe unaweza sikilizia kwenda.

Hebu tuwe tunatazama wenzetu wenye hii mifumo wanaishi vipi ndipo tutaweza kuona hawa wanaojinasibu kuwa wamepiga kazi hakuna ambalo wamefanya.
 
Ukisoma wachangiaji humu kweli utaamini ule utafiti kuwa Watanzania ni miongoni mwa watu wasio na furaha duniani.
Watu wamejaa sonona.
Mi nimefurahi sana kutumia masaa mawili kwenda moro maana Kwa basi ni zaidi ya masaa 3 mpaka manne. Pia Ile Raha ya treni kuzunguka kwenda kwenye mgahawaha na nafasi kubwa ni bonge la advantage
 
Lini? Sgr hio imetumia 2hrs juzi. Hilo bus au gari ilitumia masaa mawili lini?
Nimepanda sana " Dodoma Wadeka" kuanzia 2003 hadi 2007

Chuma ilikuwa inatoka Dom saa 12 asubuhi na kuripoti Ubungo saa 5 kisha saa 8 chuma inageuka na kuripoti Dodoma saa 1

Chuma nyingine Lupelo TZC ilikuwa inaondoka Njombe saa 11 alfajili na saa 7 mchana inaripoti Mnazi mmoja 😂😂😂
 
SGR sio zile train za mwendo kasi kama bullet train ya japan, train à grande vitesse (TGV) ya ufaransa au zile train za mwendo kasi za china. Hizo ni train za speed kali 300 km/saa au zaidi. Hii yetu ni reli ya SGR. Mwendo wa juu kabisa ni kama 160 km/ saa. Kwa kulinganisha utalinganisha na ile SGR ya kenya. Speed zitapitana kutegemea na mtengenezaji wa engine labda na mabehewa.
Hivi ina maana kama itabeba mabehewa mengi zaidi na spidi nayo itapungua eh na pengine kutumia kama masaa manne hivi?
 
Kwa umbali huo muda ulitakiwa uwe ni dakika 60 au 75 tu kama ambavyo inafanyika katika Mataifa mengine makubwa ya Watu wenye Akili na yaliyoendelea.

Yaani Dar hadi Moro zimetumika Saa 2 na dakika 20 halafu Mizuzu tokea jana na leo inashangilia tu wakati kwa wenye hizo Treni za SGR katika Mataifa mengine wanaotumia Saa 3 tu kwa Umbali wa mfano wa kutoka Dar es Salaam hadi Singida Wanatucheka na Kutudharau mno.

GENTAMYCINE nikisikia au niliambiwa Treni ya SGR itatumia Saa 2 na dakika 30 au hata na dakika 45 kidogo nitaona imefanikiwa ila hili la kutoka Dar hadi Moro kutumia Saa 2 na dakika 20 naona ni Kufeli kwa Mradi na Mpango kwa Maendeleo ya Taifa, Muda na Uimarishwaji wa Uchumi wa Tanzania na Watanzania.

Haya Team Kusifu Upuuzi na Wanafiki karibuni sana katika Kunipinga ili mlipwe Buku Saba Saba zenu, mlambe Uteuzi na Maisha yaendelee ila wenye Akili Kubwa na tusiopenda Upuuzi na Unafiki ndiyo tumeshafunguka.
Mkuu mbona huna Jema 🤔
 
Back
Top Bottom