Waswahili bwana yaani Treni ya SGR Dar hadi Moro ni masaa 2 na dakika 20 mnafurahi na kushangilia!

Kwani ilikuwa ni speed test wewe zuzu pia siyo kwamba wanao nunua magari yenye 250 km ni kwa sababu watazitumia hizo speed ....chombo chochote siyo vyema kukitumia hadi nguvu ya mwisho wa uwezo wake inatakiwa uache gepu la asilimia japo 20%
 
mkuu izo treni za kasi za ulaya na japan,nyingi zinapita chini (kwenye tunnels},,na zinazo pita juu mara nyingi zimezungushiwa fence au mfano wa ukuta kuzuia ajali,,sio kwamba naitetea serikali no,ila speed unazotaka wewe na jinsi ile treni ilivo uchi,,,ingeua wa2 wengi sana pamoja na wanyama pori na wa kufuga,,yaani ingekuwa majanga!!
 
Mimi kutoka Dar hadi Moro kwa gari natumia masaa mawili tu. Ina maana ninafika mapema kuliko treni ya umeme wa bongo. Kwanza nasikia umeme ulikatika katikati ya safari. Kazi kwelikweli
HUWEZI kwenda Moro ukitokea Dar kwa masaa mawili.
Dar Mlandizi Ni lisaa limoja na nusu. Mlandizi Chalinze Dakika 45. Chalinze Moro dkk 70.
Hii Ni kwa VX ya serikali inayotanua hata kwenye mstari na haipigwi mkono.
 
Mimi kutoka Dar hadi Moro kwa gari natumia masaa mawili tu. Ina maana ninafika mapema kuliko treni ya umeme wa bongo. Kwanza nasikia umeme ulikatika katikati ya safari. Kazi kwelikweli
we bwege ile treni ilitumia masaa 2 na dk kwenda na kurudi. maana yake kwenda tu ilitumiaa chini ya saa 1 maana kuna muda wa kupumzika Morogoro kabla ya kugeuza. Siku zote mko negative na serikali yetu tukufu nyie mabwege kahamieni huko kwenu si raia wa nchi nyie vibwengo
 
hivi ubongo mnakuwaga mmepeleka wapi aisee? unajaribu train, mabehewa na kichwa chenyewe umeagiza nje kwa garama kubwa sana, halafu unataka mtu aende speed yote, vikidondoka? hivi maana ya majaribio mnaijua?
Sasa nini maana ya majaribio kama huwezi kujaribu kwa kuakisi kile unachokitarajia..? Nyie watu mbona empty set hivyo.
 
Hivi ni kwanini Ugonjwa wa COVID-19 haukuuondoka na Wapumbavu wengi wa mfano wako ili tubakie tu Wachache tuliobarikiwa Akili Kubwa na Mwenyezi Mungu?
lazma nije kawe leo sio kwa maombi na laana hizo na hasa ukizingatia ni kwaresma halafu ndio unafakamia miwali namna hiyo 🐒

unapaki sana ngap 🐒
 
ndugu, wewe ungetupatia experience yako ni ya wapi, treni unazozijua ulizozipanda ni za wapi ili tujue kama wewe ni wa lupaso au wa mbele. pili, kuweka wahudumu ndio ajira hiyo, dada zetu wanapata ajira, unataka wakale wapi?
Ndo maana mnaambiwa mtafute exposure, sasa kwa sababu kuna shida ya ajira basi ndo uweke hata visivyoweka kweli.?? Hizo gharama ni za public revenues mkumbuke.
 
Hapa tunazungumzia ni majaribio...Hauwezi kimbia kwa speed inayotakiwa kwenye sehemu ambayo haujafanyia majaribio kuona je kila kitu kiko sawa hasa hayo mataluma na hizo waya za umeme.
Sasa kwenye majaribio sio unatakiwa utest katika full speed ili ujue uwezo wake? Au unaleta siasa mkuu?
 
Ma train yenyewe mabaya wamenunua yale yaliotupwa kwenye Escape from Sobibor.. Pesa Mwigulu na genge lake wamekula.
 
Ndo maana mnaambiwa mtafute exposure, sasa kwa sababu kuna shida ya ajira basi ndo uweke hata visivyoweka kweli.?? Hizo gharama ni za public revenues mkumbuke.
exposure ninayo, nimeishi na kusoma majuu miaka mingi, treni za mwendo kasi sizisikii tu, nimezipanda mno, za aina zote. tuambie wewe sasa exposure yako ni ya wapi. kuhusu garama, unasema garama za SGR na treni zake ni public revenue, tunachokuambia ni kwamba mradi huo hata kama ni wa huduma, unatakiwa ugenerate pesa ili ujitegemee kiuendeshaji, sio uendeshwe ufike mahali uhitaji pesa toka kwenye bajeti ya serikali, hapana, ujiendeshe, na ili ujiendeshe unahitaji utengeneze pesa out of that huduma. huko ndiko kutapatikana pesa za kulipa wafanyakazi, na wala hao watu hawalipwi pesa nyiiingi kihivyo, tunahitaji tuwaajiri, miradi huwa ni chanzo cha ajira pia sio huduma tu, cha muhimu ujiendeshe, usiwe mzigo kwa serikali. sijui kama unaelewa?
 
Hiyo reli iliyopelekea kutumia masaa mawili na dakika 20 ina kilomita ngapi?
kamwulize kadogosa mzee, unatuuliza sisi kwani ndio wakandarasi tulioijenga, upande wetu sisi tunafurahi tu kwamba kumbe tunaweza kusafiri hadi moro kwa 2:20 hours badala 3 t0 4 hours za mabasi, tena mabasi yenyewe ujue yanakimbia mno kwa muda huo. binafsi nafurahi, ninachopinga ni value for money, mabehewa hayo sio ya kisasa kabisa, na yawezekana yalitupwa huko walikochukua. hata south korea walikochukua hawatumii kama hayo. kwa lugha nyingine hili ni ngalangala linalokimbia, sio treni ya kisasa hata tukiwa nje ya nchi kwa wenye treni wakisema wenye treni za kisasa hatutakiwi kunyoosha mkono kabisa.
 
Umekuja na hoja nzuri sana, ila ingekuwa nzuri zaidi kama ungeandika bila ya kuelekeza kushambulia kundi la Watu fulani ukiwaita mazuzu.

Ni hoja ambayo ilihitaji majibu toka mwa TRL kuhusiana na muda huo wa safari kufanana na muda wa mabasi ya kawaida ya Morogoro.

Ila maelezo ni kwamba, huo ni muda wa majaribio tu, siyo muda wa safari zitakavyokuwa baada ya kuanza kutoa huduma.

Ova
 
Kwani ilikuwa ni speed test wewe zuzu pia siyo kwamba wanao nunua magari yenye 250 km ni kwa sababu watazitumia hizo speed ....chombo chochote siyo vyema kukitumia hadi nguvu ya mwisho wa uwezo wake inatakiwa uache gepu la asilimia japo 20%
Mnaanzaga kwa mbwembwe
Utafikiri mtaweza kuendesha huo
Mradi
Mwaka mmoja tu nyie chaliii
Mtauza mpaka vyuma waswahili nyie
Chichiem biashara mnaiwrzea wapi

Ova
 
Hizi habari za umeme kukatika wakati wa majaribio mmezipata wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…