Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Kwani ilikuwa ni speed test wewe zuzu pia siyo kwamba wanao nunua magari yenye 250 km ni kwa sababu watazitumia hizo speed ....chombo chochote siyo vyema kukitumia hadi nguvu ya mwisho wa uwezo wake inatakiwa uache gepu la asilimia japo 20%Kwa umbali huo muda ulitakiwa uwe ni dakika 60 au 75 tu kama ambavyo inafanyika katika Mataifa mengine makubwa ya watu wenye akili na yaliyoendelea.
Yaani Dar hadi Moro zimetumika Saa 2 na dakika 20 halafu mazuzu tokea jana na leo inashangilia tu wakati kwa wenye hizo Treni za SGR katika Mataifa mengine wanaotumia Saa 3 tu kwa umbali wa mfano wa kutoka Dar es Salaam hadi Singida wanatucheka na kutudharau mno.
GENTAMYCINE nikisikia au niliambiwa Treni ya SGR itatumia saa 2 na dakika 30 au hata na dakika 45 kidogo nitaona imefanikiwa ila hili la kutoka Dar hadi Moro kutumia Saa 2 na dakika 20 naona ni Kufeli kwa Mradi na Mpango kwa Maendeleo ya Taifa, Muda na Uimarishwaji wa Uchumi wa Tanzania na Watanzania.
Haya Team Kusifu Upuuzi na Wanafiki karibuni sana katika Kunipinga ili mlipwe Buku Saba Saba zenu, mlambe Uteuzi na Maisha yaendelee ila wenye Akili Kubwa na tusiopenda Upuuzi na Unafiki ndiyo tumeshafunguka.