Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tanitag akikujibu..au alipaaLini hio ulienda Dar-Moro masaa mawili?
Achana nao haoNitolee upuuzi wako hapa Kafie mbele huko.
HakikaMajaribio maana yake yaakisi uhalisia, yakishindwa kuakisi uhalisia maana yake tunapaswa kukosoa ili marekebisho yafanyike kufikia uhalisia.
Kama treni inatumia masaa 2:30 na basi masaa 2 au 2:30 si bora upande gari tu.SGR sio zile train za mwendo kasi kama bullet train ya japan, train à grande vitesse (TGV) ya ufaransa au zile train za mwendo kasi za china. Hizo ni train za speed kali 300 km/saa au zaidi. Hii yetu ni reli ya SGR. Mwendo wa juu kabisa ni kama 160 km/ saa. Kwa kulinganisha utalinganisha na ile SGR ya kenya. Speed zitapitana kutegemea na mtengenezaji wa engine labda na mabehewa.
basi tunatoka DSM saa 12:00 asubuhi tunafika moro saa 3:30 au saa 4. hapo ni masaa mangapi?Kama treni inatumia masaa 2:30 na basi masaa 2 au 2:30 si bora upande gari tu.
Umeme wenyewe wa mgao
😀😀😀😀😀
Labda bei iwe ndogo kuliko za mabasi
Halijafeli sababu dar Morogoro imetumia mwendo wa Dakika 80 ni spidi kubwa sanaKwa mantiki hiyo conclusion ni kwamba jaribio limefeli.
Hakuna basi la Dar morogoro linatumia masaa mawili uongo minimum masaa matanoKama treni inatumia masaa 2:30 na basi masaa 2 au 2:30 si bora upande gari tu.
Umeme wenyewe wa mgao
😀😀😀😀😀
Labda bei iwe ndogo kuliko za mabasi
Hizo zinaitwa express train hazisimami simami ni kama ndege za direct flightKweli lazima wasifie ,Nakumbuka Maulid Kitenge alituonyesha Treni ya umeme alivyokuwa nchi za watu huko dashboard ilikuwa inasoma around 420Km/hr ,hii ya kwetu mwendo wa kobe.
Tatizo kubwa litakuwa kwenye uendeshaji wenye ufanisi kwenye hilo shirika. Mchwa ni wengi sana, yaani baada ya miaka 10 tutakuwa hoi bin taabani, tutabaki kulipia mikopo yenye hasara tupu.Nigeria, morocco na misri wanazo za mwendo kasi sana. na miundo yake ni ile ile ya majuu, ila hii 3rd class ya kadogosa sijui ameokota wapi, hadi aibu.
Na ndio maana huwa kuna kuwa na Express yaani ni Dar to Moro non stop (bei juu), halafu inakuwepo ya akina sisi kila kituo ni breki (bei chini)Hizo zinaitwa express train hazisimami simami ni kama ndege za direct flight
Train zone za mwendo kasi zaweza kuwa na hizo spidi lakini kama ina vituo vingi vya kusimama huwezi kwenda kwa spidi hiyo
Wengine tulitegemea kuhamia moto sababu tunavijumba huko ili asubuhi tuwahi mishe zetu Dar sasa kama sehemu fupi hivyo masaa mawili si balaa hiyo?tunarudi tena kwenye stone ageKwa umbali huo muda ulitakiwa uwe ni dakika 60 au 75 tu kama ambavyo inafanyika katika Mataifa mengine makubwa ya watu wenye akili na yaliyoendelea.
Yaani Dar hadi Moro zimetumika Saa 2 na dakika 20 halafu mazuzu tokea jana na leo inashangilia tu wakati kwa wenye hizo Treni za SGR katika Mataifa mengine wanaotumia Saa 3 tu kwa umbali wa mfano wa kutoka Dar es Salaam hadi Singida wanatucheka na kutudharau mno.
GENTAMYCINE nikisikia au niliambiwa Treni ya SGR itatumia saa 2 na dakika 30 au hata na dakika 45 kidogo nitaona imefanikiwa ila hili la kutoka Dar hadi Moro kutumia Saa 2 na dakika 20 naona ni Kufeli kwa Mradi na Mpango kwa Maendeleo ya Taifa, Muda na Uimarishwaji wa Uchumi wa Tanzania na Watanzania.
Haya Team Kusifu Upuuzi na Wanafiki karibuni sana katika Kunipinga ili mlipwe Buku Saba Saba zenu, mlambe Uteuzi na Maisha yaendelee ila wenye Akili Kubwa na tusiopenda Upuuzi na Unafiki ndiyo tumeshafunguka.
Ni kweli hatuna akili tumebaki mazwazwa tuKwa hiyo Taifa letu hatuna akili kwa sababu hatujaendelea?
Acha dharau
Halafu kadogosa naye bila aibu anatamba mwenye vyombo vya habari kwa miradi mfu.kwa kweli wabongo ni wajinga sana hata kenya wanatushangaaKwamba haya majaribio, ikionekana tumefeli tunang'oa reli? kwamba ni majaribio haimaanisha kuwa makosa yanatakiwa yawepo..!!
Mataifa mengine Makubwa! STOP! Taifa letu nalo ni kubwa? Asante sana kwa kutupaisha.Kwa umbali huo muda ulitakiwa uwe ni dakika 60 au 75 tu kama ambavyo inafanyika katika Mataifa mengine makubwa ya watu wenye akili na yaliyoendelea
Ukiwaeleza watoe TOZO, hata barabarani watakwenda. Nyie ni watu gani? Wabongo achana nao tu, wamezoea vya bure. Ndio maana wanasema MATAIFA MAKUBWA......wabongo mnalalamika hatari.
Shida mnataka train kama za Japan wakati kodi zenyewe mnakimbia kulipa.