Madhara yataendelea hadi kwenye afya ya udongo na kulifanya shamba lako libadilike tabia.HABARI ZENU WA KULIMA WENZANGU NNASHAMBA LANGU LINA MAGUGU MENGI SANA NA UCHUMI HAUJAKAA VIZURI NNATAKA NINUNUE TU DAWA YA KUUA MAGUGU NIPULIZIE HILA SIJAWAHI KUTUMIA NAOMBA KUJUA KM KUNA MADHARA YOYOTE KWENYE MIMEA ILIYOPANDWA
Side effects za pesticides zipo. Lakini kwa kilimo cha sasa, hasa large scale au commercial farming, matumizi yake hayaepukiki. Huwezi kulima ekari kwa mfano 30 au 50 za mahindi au mpumga usitumie madawa ya magugu, mbolea nkMadhara yataendelea hadi kwenye afya ya udongo na kulifanya shamba lako libadilike tabia.
Sahihi mkuu!! Nini suluhisho?Side effects za pesticides zipo. Lakini kwa kilimo cha sasa, hasa large scale au commercial farming, matumizi yake hayaepukiki. Huwezi kulima ekari kwa mfano 30 au 50 za mahindi au mpumga usitumie madawa ya magugu, mbolea nk
Lakini huyu mkulima hazungumzii pesticides bali anazungumzia herbicides! Labda kama utakuwa hujui utofauti wake!Side effects za pesticides zipo. Lakini kwa kilimo cha sasa, hasa large scale au commercial farming, matumizi yake hayaepukiki. Huwezi kulima ekari kwa mfano 30 au 50 za mahindi au mpumga usitumie madawa ya magugu, mbolea nk
Unachotakiwa kufahamu ni aina gani ya magugu unayotaka kuyaondoa shambani kwako maana dawa zinaua magugu kulingana na aina ya magugu. Kwa mfano majani mapana au nyasi. Sasa dawa ya kuua nyasi huwezi kupuliza kwenye shamba la mahindi au dawa ya kuua magugu ya majani mapana huwezi kupulizi kwenye maharage! Kwa ujumla wake dawa za magugu zimegawanyika katika sehemu 2 yaani selective na none selective. Selective ni zile sasa zinachagua kama nilivyoelezea hapo juu lakini non selective zenyewe zinaua aina zote za magugu! Madhara yake sasa ni pale utakaposhindwa kubainisha aina ya magugu ukajikuta umepulizia dawa ambayo itaua mpaka mazao yako. Utalia na kusaga meno! Madhara kwenye udongo siyo makubwa kama inavyotangazwa, hapa wengi tunatumia tu theories za darasani lakini kwenye uhalisia siyo hivyo!HABARI ZENU WA KULIMA WENZANGU NNASHAMBA LANGU LINA MAGUGU MENGI SANA NA UCHUMI HAUJAKAA VIZURI NNATAKA NINUNUE TU DAWA YA KUUA MAGUGU NIPULIZIE HILA SIJAWAHI KUTUMIA NAOMBA KUJUA KM KUNA MADHARA YOYOTE KWENYE MIMEA ILIYOPANDWA
Hapo kwenye kununua, lazima ueleze aina ya mazao uliyolenga kwenda kupulizia.Nimejifunza
Ndo nataka kwenda kununua hpa dawa niipige shambani
Sioni kwa sasa kwa sababu mahitaji ya chakula, climate change and other factors zimefanya uhitaji wa chakula na mazao ya biashara kuwa mkubwa sana wakati gharama za kulima ziko juu sana. Ili kwa mfano upate gunia 15 -20 za mahindi kwa ekari moja ni lazima utumie pesticides, mbolea ya kupandia,kukuzia na kubebeshea, mbegu za kisasa kama Tembo nk..Kilimo hifadhi (conservation agriculture) yaweza kuwa mbadala lakini hii ni kwa very small scale kuanzia ekari 2 mpaka 4Sahihi mkuu!! Nini suluhisho?
Kweli Dunia uwanja wa fujo!Sioni kwa sasa kwa sababu mahitaji ya chakula, climate change and other factors zimefanya uhitaji wa chakula na mazao ya biashara kuwa mkubwa sana wakati gharama za kulima ziko juu sana. Ili kwa mfano upate gunia 15 -20 za mahindi kwa ekari moja ni lazima utumie pesticides, mbolea ya kupandia,kukuzia na kubebeshea, mbegu za kisasa kama Tembo nk..Kilimo hifadhi (conservation agriculture) yaweza kuwa mbadala lakini hii ni kwa very small scale kuanzia ekari 2 mpaka 4
Nataka nilime vitunguu dawa gani inafaa?Hapo kwenye kununua, lazima ueleze aina ya mazao uliyolenga kwenda kupulizia.
Nyingi sasa hivi ni fake, ukipuliza zinababua tu haziui majani.
Ila ukipata og, ni nzuri sana.
Lt1 unapulizia eka1.
Katika upuliziaji inatakiwa timing ya umande na mvua, ni kwamba ukishapuliza haitakiwi kunyeshewa na mvua muda wa masaa6, pia pasiwe na umande mwingi unapunguza nguvu ya dawa.
Mi nishasahau kung'olea mpunga majani.
Zinasaidia sana kupunguza gharama kwa kweli.
Majina ya dawa yapo mengi.Nataka nilime vitunguu dawa gani inafaa?
Hivi unajua matumizi ya herufi kubwa kenge wewe?HABARI ZENU WA KULIMA WENZANGU NNASHAMBA LANGU LINA MAGUGU MENGI SANA NA UCHUMI HAUJAKAA VIZURI NNATAKA NINUNUE TU DAWA YA KUUA MAGUGU NIPULIZIE HILA SIJAWAHI KUTUMIA NAOMBA KUJUA KM KUNA MADHARA YOYOTE KWENYE MIMEA ILIYOPANDWA
Majina ya dawa yapo mengi.
Inayofaa ni ile ya kuangamiza magugu yote(isiyobagua).
Ni nzuri sana kama eneo kuna majani, unaipiga kabla ya kulima,(vipimo vipo kwenye kopo).
Ukinyunyuzia baada ya wiki1 utakuta nyasi zote kama zimepigwa radi, zote utakuta zimeungua kabisa.
Hapo utalima na kisha kupanga vitalu vyako na kupanda.
Waweza kukuza vitunguu kwa kutifulia tu na nyasi zisiote tena kwa mhula huo mzima.
Nyasi zinawezaota kwa uchache sana ambapo unaweza kunyunyuzia ile ya kuua monocotyledonous plants.
Lakini vema ukapata ushauri hapo hapo utapoenda kununua.
Kopo la ltr1 unanyunyuzia eka 1, inaokoa sana gharama za vibarua.
Mimi nalima mpunga, napenda sana kutumia hiyo.