Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Kama umeshapanda unatumia isipokuwa mpaka upate ushauri wa kitaalamu dukani utakapoenda kununua dawa hiyo kwa kutaha zao ulilokwisha lipanda.Kwahiyo kama nimeshapanda zao siwezi kutumia dawa hii?
Kama umeshapanda unatumia isipokuwa mpaka upate ushauri wa kitaalamu dukani utakapoenda kununua dawa hiyo kwa kutaha zao ulilokwisha lipanda.
Dawa hizo kwa palizi zimegawanyika katika aina mbili, tena usiwe umechanganya mazao kwenye shamba moja.
Kama ni mpunga ama mahindi, zipo zinazoua magugu jamii ya kunde(dico'...) na kama umepanda karanga ama kunde, zipo za kuua magugu jamii ya nyasi (monoco'...).
Cha msingi uwe na bomba la kunyunyuzia lenye ujazo wa ltrs 16-20, utamaliza kazi fasta.
Wahi mkuu, madawa hayo yamejazana kwenye maduka ya pembejeo za kilimo kila sehemu.
Kama dawa zipi ? Maana dawa zote zina class na zinatumika wapi hivyo ndo nachoelewa pia THPH ndo wanaruhusu hilo . Kuna dawa zipo kwenye matumizi ya makampuni tu uwezi zikuta maduka ya kawaidaNachojua ni kwamba Kuna Baadhi ya dawa zinakaa shambani mwaka mzima so Huwa ni hatari kwenye crop rotation eg dawa za palizi ya zao y linaweza UA zao K msimu mwingine
Majuu super markets kuna bidhaa products ambazo zimelimwa bila chemicals na bei yake ipo juu zaidi.Side effects za pesticides zipo. Lakini kwa kilimo cha sasa, hasa large scale au commercial farming, matumizi yake hayaepukiki. Huwezi kulima ekari kwa mfano 30 au 50 za mahindi au mpumga usitumie madawa ya magugu, mbolea nk
Dawa ya graphosate inakaa mwaka mzima na ni kiboko ya magugu,Kwa crop rotation haifaiKama dawa zipi ? Maana dawa zote zina class na zinatumika wapi hivyo ndo nachoelewa pia THPH ndo wanaruhusu hilo . Kuna dawa zipo kwenye matumizi ya makampuni tu uwezi zikuta maduka ya kawaida
MIMI SHAMBA LANGU NI LA MICHUNGWA KUNA NYASI NYINGI NNAWEZA KUTUMIA DAWA GANI YA KUKAUSHA HAYO MANYASI MAANA EKARI 6 KUZILIMIA HELA SINA KWA SASAHapo kwenye kununua, lazima ueleze aina ya mazao uliyolenga kwenda kupulizia.
Nyingi sasa hivi ni fake, ukipuliza zinababua tu haziui majani.
Ila ukipata og, ni nzuri sana.
Lt1 unapulizia eka1.
Katika upuliziaji inatakiwa timing ya umande na mvua, ni kwamba ukishapuliza haitakiwi kunyeshewa na mvua muda wa masaa6, pia pasiwe na umande mwingi unapunguza nguvu ya dawa.
Mi nishasahau kung'olea mpunga majani.
Zinasaidia sana kupunguza gharama kwa kweli.
'Dawa ya magugu isiyobagua'.MIMI SHAMBA LANGU NI LA MICHUNGWA KUNA NYASI NYINGI NNAWEZA KUTUMIA DAWA GANI YA KUKAUSHA HAYO MANYASI MAANA EKARI 6 KUZILIMIA HELA SINA KWA SASA
Kwaiyo ukiipiga magugu hayaoti mwaka mzima ?Dawa ya graphosate inakaa mwaka mzima na ni kiboko ya magugu,Kwa crop rotation haifai
Ndio ,zinatumika sana kweymazao ya mda mrefu japo kama huna Mpango wa kuweka mazao mengine anytime soon wewe piga ni nzuri.Kwaiyo ukiipiga magugu hayaoti mwaka mzima ?
Naijua ila glyphosate aikai mda huo wote ni miezi miwili mwisho dawa inayokaa sana ni lifenuron ambayo iko na athari zaidi kwenye hii industry ya kilimo niko mda mrefu , tembelea makampuni ya viuatilifu watakujulisha mfano hii glyphosate ya madukani aiwezi kukausha shamba la chai labda uweke mil 1000 kwenye lita 20 , mfano mwingine paraquat inatumika palizi hasa kwenye mashamba ya migomba, mahindi yaliyozidi magotini , kuna location mbeya sitapenda kupataja wakulima uitumia kukausha maharage hasa ya kipindi cha mvua too risk for consumer ili wayawahishe sokoni n.kNdio ,zinatumika sana kweymazao ya mda mrefu japo kama huna Mpango wa kuweka mazao mengine anytime soon wewe piga ni nzuri.
Kiambata ni graphosate.
KUWA NA HESHIMA USIFIKIRI KILA UNAECHAT NAE HUMU UMRI WAKO MIMI NNA ANDIKA KWA MAANDISHI MAKUBWA SABABU YA UWEZO WANGU WA KUONA KWAHYO USIKURUPUKE KUTUKANA WATU NDIO MAANA JF WA ZAMANI WOTE HUMU WAMEBAKI WATAZAMAJI HAWAANZISHI MADA WALA KUCHANGIA MADA MAANA HUCHELEWI KUTUKANWA NA MTU UNAEWEZA KUMZAA.Hivi unajua matumizi ya herufi kubwa kenge wewe?
BASI NISAMEHE MKUU WANGUKUWA NA HESHIMA USIFIKIRI KILA UNAECHAT NAE HUMU UMRI WAKO MIMI NNA ANDIKA KWA MAANDISHI MAKUBWA SABABU YA UWEZO WANGU WA KUONA KWAHYO USIKURUPUKE KUTUKANA WATU NDIO MAANA JF WA ZAMANI WOTE HUMU WAMEBAKI WATAZAMAJI HAWAANZISHI MADA WALA KUCHANGIA MADA MAANA HUCHELEWI KUTUKANWA NA MTU UNAEWEZA KUMZAA.