Wataalam wa kuchambua Biblia, nini maana ya hiki kifungu?

Wataalam wa kuchambua Biblia, nini maana ya hiki kifungu?

Mungu yupi unayemuongelea wa Taoism!?? Buddhism!?? Hinduism!?? Shamanism!?? Islamic!?? Christianity!?? Shintoism!!? Voodoos!?? Sikhism!!?Judaism!?? confucianism!?? Au .... Kila mkija Mungu,Mungu wa Yakobo sijui Simba wa Yuda anakuhusu nini!?? ... Soma tu kabla kitabu kingine pata maarifa tulia ....
Mungu ninaye mwabudu Mimi. Mungu aliyekuumba wewe na kila kitu kilichohai Yani Yehova. Mungu ambaye ni Mungu wa wote. Haiya twende kijana
 
Mungu ninaye mwabudu Mimi. Mungu aliyekuumba wewe na kila kitu kilichohai Yani Yehova. Mungu ambaye ni Mungu wa wote. Haiya twende kijana
😂😂😂Kila dini inasema Mungu wake ndo muumba na wengine wamefungwa na ni feki...waisrael wenyewe waliamini Kuna miungu mingi ila Mungu wao ndo ana nguvu afu baadae ghafla Mungu kabaki mmoja...😂hizi dini hizi
 
Mungu aliye mkamilifu, asiye fananishwa na kitu, Alfa na Omega; hapa anatamkwa namna hii?

Ama kuna namna ilimaanishwa na Mwandishi wa Wakorinto?
View attachment 2853435
Kwanza muandishi hapo ni paul,mtume paul akiwaandikia wakorintho, ukisoma hyo paragraph yote wakorintho walikuwa wanapinga sana mambo ya Yesu,yani habari ya msalaba wao waliona kama ni ujinga ama upumbafu,yani kuwaambia kuna ukomboz kupitia Yesu hawakuwa wakiaminindio maana paul akatumia neno lao kwa kusema hvo kwamba kama ukombozinkwenu ni ujinga na ujinga huo umetoka kwa mwenyez Mungu basi ni bora kuliko huo wa kwenu maana hamjui lolote zaid ya kubisha.
 
Mungu ninaye mwabudu Mimi. Mungu aliyekuumba wewe na kila kitu kilichohai Yani Yehova. Mungu ambaye ni Mungu wa wote. Haiya twende kijana
Mungu wako simjui Mimi.... Unanijua hata nasali wapi !? Eti Mungu wako aliyeniumba Mimi unajisikiliza kweli!?? .... Get off that opium of yours.
 
Tena kwa kukazia, Mwandishi aliyeandika... ANAMTUKUZA NA KUMSIFU MUNGU.
 
😂😂😂Kila dini inasema Mungu wake ndo muumba na wengine wamefungwa na ni feki...waisrael wenyewe waliamini Kuna miungu mingi ila Mungu wao ndo ana nguvu afu baadae ghafla Mungu kabaki mmoja...😂hizi dini hizi
Kjana Kuna Mungu na miungu. Na wakiabudu hio miungu Yao siwezi kuwazuia. Siwezi kuongelea vitabu sijui vya wahindu sijui wabudism. Mi namzungumzia Mungu mkuu Muumba wa kila kilicho hai na kisicho hai. Yani Mungu mmoja ambaye maandiko yalifunua jina lake kuwa YEHOVA. So kama una swali kuhusu Hilo jina niulize nikujibu. Tujikite hapo. Hao wengine nachoamini ni miungu ambayo imekuepo toka miaka na miaka lakini haiwezi chochte
 
Mungu wako simjui Mimi.... Unanijua hata nasali wapi !? Eti Mungu wako aliyeniumba Mimi unajisikiliza kweli!?? .... Get off that opium of yours.
Kwan Kuna aliyekulazimisha uamini? Uwe na dini usiwe nayo hio ni juu Yako. Umelazimiswa? We si ndo umekuja kuanza kuuliza maswali Yako au
 
Kjana Kuna Mungu na miungu. Na wakiabudu hio miungu Yao siwezi kuwazuia. Siwezi kuongelea vitabu sijui vya wahindu sijui wabudism. Mi namzungumzia Mungu mkuu Muumba wa kila kilicho hai na kisicho hai. Yani Mungu mmoja ambaye maandiko yalifunua jina lake kuwa YEHOVA. So kama una swali kuhusu Hilo jina niulize nikujibu. Tujikite hapo. Hao wengine nachoamini ni miungu ambayo imekuepo toka miaka na miaka lakini haiwezi chochte
Na Allah je? 😂😂
 
Jibu kama alivo maanisha mkorintho mwandishi mkuu.
Aliyeandika sio Mkorintho! Hayo ni maandiko ya mtume Paulo kwa Wakorintho! Mtume Paulo aliwaandikia Wakorintho,Wathesalonike,Warumi,Wafilipi,waefeso,Wakolosai,Wagalatia,pia aliwaandikia mitume kama Tito na Filemoni bila kumsahau Timotheo
 
Na Allah je? 😂😂
Allah mkuu haina utofauti na neno Mungu,God na maneno mengine ya lugha zingine. But jina la MUNGU lililofunuliwa kwenye maandiko hata ya kiyahudi,kiarabu,kiyuni na lugha zingine ni Yehova. Ukienda kwenye kiyunani inaandikwa YHWH,Yahweh, Jehovah,Ukichunguza kwenye Quran majina 99 ya Mungu yote yameanza na YAH- then neno linalifuatia linakua na jina la sifa. Nafirkiri nimezunguzma kifupi
 
😂😂😂So mbona Allah na Yahweh sheria zao ni tofauti...na kingine kwa Nini we sio muislam
 
😂😂😂So mbona Allah na Yahweh sheria zao ni tofauti...na kingine kwa Nini we sio muislam
Nafikri hujanielewa. Nimekuambia Allah ni neno tu la kiarabu linalomaanisha Mungu. Hio Yahweh ulipoandika ni jina halisi la MUNGU. Hayo mengine ya uislam wait tumalize kwanza hili. Enheee tuendelee na maswali kijana
 
Bac since unajitoa akili ..kwa nini huamini sheria za Mungu wa kiislamu...
 
Bac since unajitoa akili ..kwa nini huamini sheria za Mungu wa kiislamu...
Mkuu toka mwanzo nilikuambia siwez kuongelea mambo ya dini sijui uhindu,Judaism,uislam na kadhalika. Nilichojaribu kujibu swali lako kwamba unamwabudu Mungu yupi nikajibu namwabudu Yehova. Nikajaribu kukupa extra kuhusu Hilo jina. Unapoongelea uislam hautambui jina la MUNGU kua Yehova. Na hizo sheria unazoongelea za kiislam mi naamini ni sheria ya Mohemed ambaye hakua akijua kusoma Wala kuandika. From nowhere alikuja kuteka watu kwa kile alichodai alikua akiongea na Mungu milimani et alikua akikariri hayo maneno so hzo sheria zao wanajua wenyewe ni zipi na nyingi ya hzo sheria zinatokana na tamaduni za waarabu ambazo wanazienzi. Nikalipa somo kidogo kwamba licha ya waislam kutolitambua jina Yehova au YAH,YHWH,au Yahweh kua ndo jina halisi la MUNGU lakini katika Majina 99 ambayo Yako kwenye Quran yameanza na Nina YAH-... na neno linalifuatia hapo ni jina la sifa. Nakuuliza swali moja kama wao hawatambui jina la MUNGU kua ni Yehova utasemaje chanzo Cha sheria zao ni huyo Yehova? Kuna baadhi ya vitabu vinavyojumuisha Quran vimeongelea kisawa kabisa mafundisho ya Yehova. Mfano injili,torati na zaburi. Napo pamoja na kuzungumzia hayo Bado mengi yamepindishwa. Na si ajabu wao kuongelea hayo mafundisho coz wao pia waliishi mashariki ya Kati. So walimjua vizuri Mungu wa kweli ambaye ni Yehova ila wakamua kukazana na Mohamed. Nafirkiri umenielewa. Twende kazi
 
si kila mstari kwenye bible unaweza kuuelewa wenyewe kama wenyewe anzia juu kidogo at least mstari wa 15 au 16 utapata kuelewa paulo alimaanisha nini

unless uwe na lingine ulilolikusudia

20 Yu wapi basi, mwenye hekima? Yu wapi basi, mwalimu wa sheria? Naye bingwa wa mabishano wa nyakati hizi yuko wapi? Mungu ameifanya hekima ya ulimwengu kuwa upumbavu.
21 Maana, kadiri ya hekima ya Mungu, watu hawawezi kumjua Mungu kwa njia ya hekima yao wenyewe. Badala yake, Mungu amependa kuwaokoa wale wanaoamini kwa njia ya kile ambacho wenye hekima wanakiona kuwa ni upumbavu, yaani ujumbe tunaohubiri.
22 Wayahudi wanataka ishara, na Wagiriki wanatafuta hekima;
23 lakini sisi tunamhubiri Kristo aliyesulubiwa. Kwa Wayahudi jambo hili ni kikwazo, na kwa watu wa mataifa ni upumbavu;
24 lakini kwa wale walioitwa, Wayahudi kwa Wagiriki, Kristo ni nguvu ya Mungu na hekima ya Mungu.
25 Maana kinachoonekana kuwa ni upumbavu wa Mungu, kina busara kuliko hekima ya binadamu; na kinachoonekana kuwa ni udhaifu wa Mungu, kina nguvu kuliko nguvu za binadamu.
26 Ndugu, kumbukeni wakati mlipoitwa: Wengi wenu hawakuwa wenye hekima hata kwa fikira za binadamu; wengi hawakuwa wenye nguvu au watu wa tabaka la juu.
27 Ndiyo kusema, Mungu aliyachagua yale ambayo ulimwengu huyaona ni upumbavu, ili awaaibishe wenye hekima; na aliyachagua yale ambayo ulimwengu huyaona ni dhaifu, ili awaaibishe wenye nguvu.
28 Mungu ameyachagua yale ambayo kwa fikira za dunia ni mambo yaliyo duni na yanayodharauliwa, mambo ambayo hata hayakuwako, ili kwa hayo ayafutilie mbali yale ambayo kwa fikira za binadamu ni mambo ya maana.
29 Basi, hakuna mtu awezaye kujivunia chochote mbele ya Mungu.
 
Back
Top Bottom