Bwana Bima
JF-Expert Member
- Jul 29, 2014
- 429
- 929
Mungu ninaye mwabudu Mimi. Mungu aliyekuumba wewe na kila kitu kilichohai Yani Yehova. Mungu ambaye ni Mungu wa wote. Haiya twende kijanaMungu yupi unayemuongelea wa Taoism!?? Buddhism!?? Hinduism!?? Shamanism!?? Islamic!?? Christianity!?? Shintoism!!? Voodoos!?? Sikhism!!?Judaism!?? confucianism!?? Au .... Kila mkija Mungu,Mungu wa Yakobo sijui Simba wa Yuda anakuhusu nini!?? ... Soma tu kabla kitabu kingine pata maarifa tulia ....
πππKila dini inasema Mungu wake ndo muumba na wengine wamefungwa na ni feki...waisrael wenyewe waliamini Kuna miungu mingi ila Mungu wao ndo ana nguvu afu baadae ghafla Mungu kabaki mmoja...πhizi dini hiziMungu ninaye mwabudu Mimi. Mungu aliyekuumba wewe na kila kitu kilichohai Yani Yehova. Mungu ambaye ni Mungu wa wote. Haiya twende kijana
Kwanza muandishi hapo ni paul,mtume paul akiwaandikia wakorintho, ukisoma hyo paragraph yote wakorintho walikuwa wanapinga sana mambo ya Yesu,yani habari ya msalaba wao waliona kama ni ujinga ama upumbafu,yani kuwaambia kuna ukomboz kupitia Yesu hawakuwa wakiaminindio maana paul akatumia neno lao kwa kusema hvo kwamba kama ukombozinkwenu ni ujinga na ujinga huo umetoka kwa mwenyez Mungu basi ni bora kuliko huo wa kwenu maana hamjui lolote zaid ya kubisha.Mungu aliye mkamilifu, asiye fananishwa na kitu, Alfa na Omega; hapa anatamkwa namna hii?
Ama kuna namna ilimaanishwa na Mwandishi wa Wakorinto?
View attachment 2853435
Mungu wako simjui Mimi.... Unanijua hata nasali wapi !? Eti Mungu wako aliyeniumba Mimi unajisikiliza kweli!?? .... Get off that opium of yours.Mungu ninaye mwabudu Mimi. Mungu aliyekuumba wewe na kila kitu kilichohai Yani Yehova. Mungu ambaye ni Mungu wa wote. Haiya twende kijana
Mungu wako simjui Mimi.... Unanijua hata nasali wapi !? Eti Mungu wako aliyeniumba Mimi unajisikiliza kweli!?? .... Get off that opium of yours.Mungu ninaye mwabudu Mimi. Mungu aliyekuumba wewe na kila kitu kilichohai Yani Yehova. Mungu ambaye ni Mungu wa wote. Haiya twende kijana
Kjana Kuna Mungu na miungu. Na wakiabudu hio miungu Yao siwezi kuwazuia. Siwezi kuongelea vitabu sijui vya wahindu sijui wabudism. Mi namzungumzia Mungu mkuu Muumba wa kila kilicho hai na kisicho hai. Yani Mungu mmoja ambaye maandiko yalifunua jina lake kuwa YEHOVA. So kama una swali kuhusu Hilo jina niulize nikujibu. Tujikite hapo. Hao wengine nachoamini ni miungu ambayo imekuepo toka miaka na miaka lakini haiwezi chochteπππKila dini inasema Mungu wake ndo muumba na wengine wamefungwa na ni feki...waisrael wenyewe waliamini Kuna miungu mingi ila Mungu wao ndo ana nguvu afu baadae ghafla Mungu kabaki mmoja...πhizi dini hizi
Kwan Kuna aliyekulazimisha uamini? Uwe na dini usiwe nayo hio ni juu Yako. Umelazimiswa? We si ndo umekuja kuanza kuuliza maswali Yako auMungu wako simjui Mimi.... Unanijua hata nasali wapi !? Eti Mungu wako aliyeniumba Mimi unajisikiliza kweli!?? .... Get off that opium of yours.
Na Allah je? ππKjana Kuna Mungu na miungu. Na wakiabudu hio miungu Yao siwezi kuwazuia. Siwezi kuongelea vitabu sijui vya wahindu sijui wabudism. Mi namzungumzia Mungu mkuu Muumba wa kila kilicho hai na kisicho hai. Yani Mungu mmoja ambaye maandiko yalifunua jina lake kuwa YEHOVA. So kama una swali kuhusu Hilo jina niulize nikujibu. Tujikite hapo. Hao wengine nachoamini ni miungu ambayo imekuepo toka miaka na miaka lakini haiwezi chochte
Biblia inajaribu kukupa idea na kukuondolea roho ya majivuno kisa unaweza kutengeneza AI ukajiona ww ndo MunguMungu aliye mkamilifu, asiye fananishwa na kitu, Alfa na Omega; hapa anatamkwa namna hii?
Ama kuna namna ilimaanishwa na Mwandishi wa Wakorinto?
View attachment 2853435
Aliyeandika sio Mkorintho! Hayo ni maandiko ya mtume Paulo kwa Wakorintho! Mtume Paulo aliwaandikia Wakorintho,Wathesalonike,Warumi,Wafilipi,waefeso,Wakolosai,Wagalatia,pia aliwaandikia mitume kama Tito na Filemoni bila kumsahau TimotheoJibu kama alivo maanisha mkorintho mwandishi mkuu.
Allah mkuu haina utofauti na neno Mungu,God na maneno mengine ya lugha zingine. But jina la MUNGU lililofunuliwa kwenye maandiko hata ya kiyahudi,kiarabu,kiyuni na lugha zingine ni Yehova. Ukienda kwenye kiyunani inaandikwa YHWH,Yahweh, Jehovah,Ukichunguza kwenye Quran majina 99 ya Mungu yote yameanza na YAH- then neno linalifuatia linakua na jina la sifa. Nafirkiri nimezunguzma kifupiNa Allah je? ππ
πππSo mbona Allah na Yahweh sheria zao ni tofauti...na kingine kwa Nini we sio muislamAllah mkuu haina utofauti na neno Mungu,God na maneno mengine ya lugha zingine. But jina la MUNGU lililofunuliwa kwenye maandiko hata ya kiyahudi,kiarabu,kiyuni na lugha zingine ni Yehova. Ukienda kwenye kiyunani inaandikwa YHWH,Yahweh, Jehovah,Ukichunguza kwenye Quran majina 99 ya Mungu yote yameanza na YAH- then neno linalifuatia linakua na jina la sifa. Nafirkiri nimezunguzma kifupi
Nafikri hujanielewa. Nimekuambia Allah ni neno tu la kiarabu linalomaanisha Mungu. Hio Yahweh ulipoandika ni jina halisi la MUNGU. Hayo mengine ya uislam wait tumalize kwanza hili. Enheee tuendelee na maswali kijanaπππSo mbona Allah na Yahweh sheria zao ni tofauti...na kingine kwa Nini we sio muislam
Bac since unajitoa akili ..kwa nini huamini sheria za Mungu wa kiislamu...Nafikri hujanielewa. Nimekuambia Allah ni neno tu la kiarabu linalomaanisha Mungu. Hio Yahweh ulipoandika ni jina halisi la MUNGU. Hayo mengine ya uislam wait tumalize kwanza hili. Enheee tuendelee na maswali kijana
Mkuu toka mwanzo nilikuambia siwez kuongelea mambo ya dini sijui uhindu,Judaism,uislam na kadhalika. Nilichojaribu kujibu swali lako kwamba unamwabudu Mungu yupi nikajibu namwabudu Yehova. Nikajaribu kukupa extra kuhusu Hilo jina. Unapoongelea uislam hautambui jina la MUNGU kua Yehova. Na hizo sheria unazoongelea za kiislam mi naamini ni sheria ya Mohemed ambaye hakua akijua kusoma Wala kuandika. From nowhere alikuja kuteka watu kwa kile alichodai alikua akiongea na Mungu milimani et alikua akikariri hayo maneno so hzo sheria zao wanajua wenyewe ni zipi na nyingi ya hzo sheria zinatokana na tamaduni za waarabu ambazo wanazienzi. Nikalipa somo kidogo kwamba licha ya waislam kutolitambua jina Yehova au YAH,YHWH,au Yahweh kua ndo jina halisi la MUNGU lakini katika Majina 99 ambayo Yako kwenye Quran yameanza na Nina YAH-... na neno linalifuatia hapo ni jina la sifa. Nakuuliza swali moja kama wao hawatambui jina la MUNGU kua ni Yehova utasemaje chanzo Cha sheria zao ni huyo Yehova? Kuna baadhi ya vitabu vinavyojumuisha Quran vimeongelea kisawa kabisa mafundisho ya Yehova. Mfano injili,torati na zaburi. Napo pamoja na kuzungumzia hayo Bado mengi yamepindishwa. Na si ajabu wao kuongelea hayo mafundisho coz wao pia waliishi mashariki ya Kati. So walimjua vizuri Mungu wa kweli ambaye ni Yehova ila wakamua kukazana na Mohamed. Nafirkiri umenielewa. Twende kaziBac since unajitoa akili ..kwa nini huamini sheria za Mungu wa kiislamu...
Aloyeandika hiki kifungu ni nan kwanzaMungu aliye mkamilifu, asiye fananishwa na kitu, Alfa na Omega; hapa anatamkwa namna hii?
Ama kuna namna ilimaanishwa na Mwandishi wa Wakorinto?
View attachment 2853435
si kila mstari kwenye bible unaweza kuuelewa wenyewe kama wenyewe anzia juu kidogo at least mstari wa 15 au 16 utapata kuelewa paulo alimaanisha nini
unless uwe na lingine ulilolikusudia