Wataalam wa kuchambua Biblia, nini maana ya hiki kifungu?

Vyovyote vile hawezi kumuita Mungu mpumbavu hata kwa kujaribu..

Hebu jaribu siku moja kumwambia Baba yake " U ajua baba upumbavu wako ni sawa na Hekima yangu mimi"

Uone kama ajakuachia Laana...
Au kamwambia samia hivyo laivu sio mtandaoni wala wapi akiwa anahutubia halafu we Omba mic sema ..

"Rais samia Upumbavu wako ni sawa na Hekima yangu"
Kama hizo scenario ni Ngumu kufanyika kwa binadamu wwnzenu kwanini mumfanyie muumba wwnu??
 
Mungu aliye mkamilifu, asiye fananishwa na kitu, Alfa na Omega; hapa anatamkwa namna hii?

Ama kuna namna ilimaanishwa na Mwandishi wa Wakorinto?
View attachment 2853435
vile unavyojiona wewe una hekima ya hali ya juu, haujafikia hata the lowest wisdom Mungu angeamua kuwa nayo. vile unavyojiona una nguvuuuuu, haujafikia hata the lowest level ya Mungu angeamua kujifanya dhaifu. vile unavyojiona una uelewa mkubwa sana, haujafikia hata the lowest levelo Mungu angejifanya mjinga. Elewa kwamba, Mungu wetu ni mkuu sana, uwezo wake hauna kipimo, hapimiki, though huwa anaamua kujishusha kwa maslahi yake.
 
Raia wa Venezuela akiniambia rais wenu ni MPUMBAVU halafu mm namjibu

" upumbavu wa rais wangu una hekima ,,,,,,,,,
 
Mbona mstari upo wazi umejitosheleza kabisa.

SAWA na kusema speed ndogo ya chini ya ndege gari yenye speed kubwa haiwezi ifikia
 
😂😂😂Sawa bac since unasema sheria zao ni za Muhammad we sheria unazofata ambazo zipo kwa bible zimeandikwa na nani...ulishawahi kuona Mungu anaandika kitabu...why umeamini kitabu Cha wayahudi kuwa real na Cha waislamu kuwa not real
 
Apo hapo nakzia..mungu wa waislaim analuhusu kama usipokua muslam uuliwe.
Ushawahi kusoma agano la kale, unajua huyo Mungu wako unayemuabudu alikuwa anaamuru watu wote wasio wayahudi wauliwe na mabikra wawe watumwa wa ngono
 
Mungu hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Biblia ni Hadithi za kutungwa sawa na Hekaya za Abunuwasi au riwaya za Alfu Lela ulela.

Achana na hadithi zisizo na kichwa wala miguu.
Mkuu, hatuna la kukuambia zaidi ya kusema, soma Zaburi 14:1 halafu uje tena na post
Nakwambia hivi 👇

Mungu hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Atheist 12:4, Mpumbavu husema moyoni mwake Kuna Mungu.
Ilaaniwe kazi yeyote mikono yako itakayofanya, ilaaaniwe safari yeyote miguu yako itakakokupeleka, hadi siku utakapojua na kukiri yuko Mungu wa kweli Aliye juu zaidi, Aliyeumba mbingu na nchi, ambaye huwaangazia jua lake waovu na wema, na hunyesha mvua juu ya waadilifu na wasio waadilifu. Daniel 4:25; Mathahyo 5:45
 
Mungu huyo hayupo.

Huyo Mungu kama yupo mwambie aje hapa ajidhihirishe.

Vinginevyo, Wewe na huyo Mungu mna Laana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…