Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Hongereni sana wazazi watarajiwa,
Msije kutoa hiyo mimba hamuwezi jua kumbe ni Magufuli part two
Msije kutoa hiyo mimba hamuwezi jua kumbe ni Magufuli part two
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio 100% me wakati naanza clinic nilikuwa namimba ya miezi 3 ultra sound ikaonesha miezi 6 yani tare za kujifungua waka kadiria badala nijifungue miezi 9 wakarudisha miezi 6😀 nilibishana na manes hadi nikawauliza me ndo nimebeba mimba najua mwezi nilio beba bado mnabishia.. wakaniambie niende hospital nyingine nikafanye ultra sound tena nikaenda.. wao kidogo japo haikuwa sawa walisema mwezi wa 2 najifungua nikajifungua wa kwanza katikati.. kwaiyo hivo vitu hapana labda umuangalie mwanao km yupo hai tuu.majibu ya ultra sound huwa ni 100% correct/accurate e?
Haya ni pm nikupe no yakeNipe huyo mwanamke mkuu niko tayari kulea mimba..
nitakulipa fidia za usumbufu..View attachment 3241142
Kweli1. Elimu
2. Elimu
3. Elimu
Inamaa wewe ulimkojolea tarehe 28 tu, Tena siku yangu ya kuzaliwaToka 28 desemba bado mkuu
Wote huko juu wanakuambia kitu kimoja.Kweli
Alianza tarehe 17 desemba hadi tarehe 21 desemba ndiyo siku zakeKwenye kujua umri wa mimba cha muhimu sana ni tarehe ya mwisho ya mama kuona siku zake. Njia hii ndiyo hutoa majibu ambayo ni sahihi hasa kwa umri wa mimba kama mama anaikumbuka vizuri.
Kama mama hakumbuki tarehe ya mwisho kuona siku zake basi njia mbadala ya kupima umri wa mimba ni hiyo ya kutumia ultrasound.
Kipimo cha ultrasound kwenye kupima umri wa mimba hakitoi majibu sahihi kwa 100%, mara nyingi hupishana na umri wa mimba kwa tarehe za mwisho kwa wiki 2 au zaidi kulingana na hatua ya mimba (trimester).
Kupishana huko ni kawaida wala sio tatizo kwa sababu kunakuwa na makosa madogomadogo (errors) ya mashine inayotumika na ya mpimaji (uzoefu nk).
Hongereni sana, muendelee na utaratibu wa mama kuanza clinic.
Kila la kheri.
Ameniambia alianza tarehe 17 desemba hada tarehe 21 desemba ndiyo zilikuwa siku zakeBado nadhani akisema siku ya mwisho kumaliza hedhi utata utaisha,yy mwenyewe nahisi amejisikia vibaya akutarajia haya majibu
Siku ya kwanza ya hedhi ilikuwa 17 desemba na alimaliza kati ya trh 20 hadi 21 desembaMimba inapinwa depending na siku ya kwanza ya hedhi ya mwisho ndo maana hospitali nyingi utakuta anatumia LMP kumaanisha last menstrual period… mimba ni miezi 9 lakini tunahesabiwa mpaka wiki 40 ili kueradicate zile wiki 2-4 za ovulation after periods (depending na mzunguko wa mtu)
Duh!Leo nimetoka kufanya kipimo cha ultrasound na mpenzi wangu, kipimo kikasema kuwa mpenzi wangu ana ujauzito wa wiki tisa na siku tatu, kinachotuchanganya ni mara ya mwisho kufanya nae mapenzi ilikuwa tarehe 28 desemba ambazo hadi leo wiki 9 hazifiki, je changamoto ni nini?
Ulimkojolea siku ya hatari sana siku salama ni kuanzia siku ambayo mwanamke anaenda Jupiter hadi siku ya 8, ya 9-10 mmm haina uhakika sana ila ya 11,12,13,14,15 hizo za moto, (fireworks) 🔥,Ameniambia alianza tarehe 17 desemba hada tarehe 21 desemba ndiyo zilikuwa siku zake
Tarehe 17 desemba24.12 mlikutana, 28.12 mkawekana bila ndomu, na huenda hata hamkupimana. Ukimwi uko sehemu mbaya sana wakuu. Ndio maana wengine tumeamua sasa basi.
BTW, uliza huyo mdada LM ilikuwa lini, yaani lini aliingia hedhi yake ya mwisho. Ultrasound inasoma kuanzia tar ya kwanza ya hedhi yake ya mwisho.
Ulimuweka siku ya 12 ya mzunguko, siku ya hatari. Hongera mkuu, wewe ni baba mtarajiwa.Tarehe 17 desemba
Ultrasound inaestimate tu, mimba ni yako MkuuLeo nimetoka kufanya kipimo cha ultrasound na mpenzi wangu, kipimo kikasema kuwa mpenzi wangu ana ujauzito wa wiki tisa na siku tatu, kinachotuchanganya ni mara ya mwisho kufanya nae mapenzi ilikuwa tarehe 28 desemba ambazo hadi leo wiki 9 hazifiki, je changamoto ni nini?