Wataalam wa mambo ya uzazi naombeni msaada wenu, nimechanganyikiwa

Leo nimetoka kufanya kipimo cha ultrasound na mpenzi wangu, kipimo kikasema kuwa mpenzi wangu ana ujauzito wa wiki tisa na siku tatu, kinachotuchanganya ni mara ya mwisho kufanya nae mapenzi ilikuwa tarehe 28 desemba ambazo hadi leo wiki 9 hazifiki, je changamoto ni nini?
Yani sisi ndio tukwambjie changamoto? Una umri gani na umeishia darasa la ngapi?
 
Leo nimetoka kufanya kipimo cha ultrasound na mpenzi wangu, kipimo kikasema kuwa mpenzi wangu ana ujauzito wa wiki tisa na siku tatu, kinachotuchanganya ni mara ya mwisho kufanya nae mapenzi ilikuwa tarehe 28 desemba ambazo hadi leo wiki 9 hazifiki, je changamoto ni nini?

Mimba abebe mwingine kuchanganyikiwa achanganyikiwe mwingine.hili limekaeje.mlipokuwa mnazini ulitegemea nini.wewe hapa unasema mara ya mwiaho kuzini naye ni Dec,Ila hujasema mlianza unzinzi lini?
 
Mbona unafoka?
 
Back
Top Bottom