Mimba inatungwa siku Kati ya 11 -17 Toka siku ya kwanza ya hedhi Kwa mzunguko wa mwezi husika.
Mwanamke aloingia hedhi tarehe 1/12 ... Huyu mimba inaingia kuanzia tarehe 11/12 Hadi 17/12 .
Mwanamke ambaye hedhi kaingia tarehe 14/12 mimba itaingia kuanzia tarehe 25-30/12 .
Nitawaelezea hapa kama atakua ameingia kuanzia tarehe 14 /12 👇
Sasa kama imeingia tarehe za kuanzia 25-30/12 .
Kwenye Ultrasound , ili kujua Umri wa mimba, Mtaalam ataingizia tarehe ya mwisho ya hedhi yake ambayo ni 14/12 , mpaka kufikia tarehe 28/12 ulipomtomba wewe ,maana yake Kuna wiki 2 .
Kuanzia Tarehe 28/12 ulipomtomba wewe,mpaka Jana ulipopima ni kama wiki 7 na siku 3.
Chukia wiki 7 na siku 3, jumlisha wiki 2 ambazo ninkipindi Toka tarehe 14/12 mpaka tarehe 28/12 ulipomtomba wewe
Utagundua ni wiki 9 na siku 3 unazozipigia wewe kelele.
Kwahiyo Tafuta kwanza kujua Tarehe ya Hedhi.