Wataalam wa mambo ya uzazi naombeni msaada wenu, nimechanganyikiwa

Wataalam wa mambo ya uzazi naombeni msaada wenu, nimechanganyikiwa

Kwanza how damn shit ni mpenz wako afu eti mara ya mwisho ni desemba!!?
Yani nimekutana nae desemba 24 kuanzia desemba 28 tumeanza kusex akaniambia mjamzito juzi akazimia ikabidi leo tukacheki utra sound wanasema mimba ina wiki 9 na siku 3
 
Mimba inatungwa siku Kati ya 11 -17 Toka siku ya kwanza ya hedhi Kwa mzunguko wa mwezi husika.

Mwanamke aloingia hedhi tarehe 1/12 ... Huyu mimba inaingia kuanzia tarehe 11/12 Hadi 17/12 .


Mwanamke ambaye hedhi kaingia tarehe 14/12 mimba itaingia kuanzia tarehe 25-30/12 .

Nitawaelezea hapa kama atakua ameingia kuanzia tarehe 14 /12 👇

Sasa kama imeingia tarehe za kuanzia 25-30/12 .

Kwenye Ultrasound , ili kujua Umri wa mimba, Mtaalam ataingizia tarehe ya mwisho ya hedhi yake ambayo ni 14/12 , mpaka kufikia tarehe 28/12 ulipomtomba wewe ,maana yake Kuna wiki 2 .

Kuanzia Tarehe 28/12 ulipomtomba wewe,mpaka Jana ulipopima ni kama wiki 7 na siku 3.

Chukia wiki 7 na siku 3, jumlisha wiki 2 ambazo ninkipindi Toka tarehe 14/12 mpaka tarehe 28/12 ulipomtomba wewe

Utagundua ni wiki 9 na siku 3 unazozipigia wewe kelele.

Kwahiyo Tafuta kwanza kujua Tarehe ya Hedhi.
 
Back
Top Bottom