Wataalam wa mambo ya uzazi naombeni msaada wenu, nimechanganyikiwa

Hapo kabla ya hiyo mara ya mwisho ilikuwa lini? Hesabu zinasemaje?

Kama huelewi, lifanyie uchunguzi.
Unaweza kuangaika na kugharamia zaidi ya mil 5 afu uje ulipwe laki 8 unusu...
 
Hayo huwa ni makadirio elewa neno MAKADIRIO so usipanic dogo
 
Alianza tarehe 17 desemba hadi tarehe 21 desemba ndiyo siku zake

Basi kama ni hivyo ina maana mimba kwa sasa ina wiki 9 na siku moja na tarehe ya matazamio ni 23/09/2025.

Yaani kitaalamu inakuwa kama ifuatavyo:

LNMP: 17/12/2024

EDD: 23/09/2025

GA: 9weeks+1day

Ambapo:
-LNMP: Ni tarehe ya mwisho ya siku zake (tunachukua tarehe damu ilipoanza kutoka) [17/12/2024]

-EDD: Ni tarehe ya matazamio ya kujifungua [23/09/2025]

-GA: Ni umri wa mimba [9weeks+1day]

Kila la kheri.
 

Hao walikosea sana aise
 


Acha utoto, hujaelewa nini? Hunaelewa unapigiwa au hujui mpenzi wako ana wapenzi wengine hadi kapigwa mimba? Bado huelewi?
 
Hakuna changamoto, jiandae kuhudumia mimba.
 
Mpenzi wenu ana mimba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa nini unatuambia mara ya mwisho?
 
umejuaje ni ushamba? wengine tuna shida tunahitaji watoto hatuwapati..

Joa nakuheshimu sana

Ushamba ni tusi ama ni kuvunjiana heshima?

Nwei,kama ungekuwa una shida kweli ungemfuata private...japo sikupangii cha kupost wala kuandika lakini ipi ni sababu ya kuweka picha ya hela?
 
Hujaelewa nini ni kwamba ana mimba ya mpenzi wake, jiandae kuwa baba mlezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…