Wataalam wa nyoka huyu ni nyoka gani?

Kuna mshikaji wangu alikuwa ameketi mahala kajamaa kakawa keshaanza kunyanyuka ili kurusha sumu. We kama bahati nilitokea nyoka akanigeukia Mimi Cha kushangaza alilala mwenyewe kama dakika Tano hivi nikasema ondoka lol alisepa balaa. Sasa Cha kushangaza sio mara ya kwanza huwa nyoka wakiniona wanalegea na kusepa. Nitashukuru mkinisaidia kwa hili ni kwanini
 
Itakua kwenu kuna wakubwa
 
Itakua kwenu kuna wakubwa
Chakushangaza nikienda ugenini haipiti siku tatu sijaona nyoka, wakati mwingine nashtuka tuu nimemshika nikiwa na pilika zangu ila hanifanyi chochote. Sasa Kuna wakubwa kivipi
 
Huyo nyoka anaitwa Sanzinia au Madagascar Tree Boa, ni nyoka adimu sana wanaopatikana kisiwa cha Madagasca, hawana sumu kabisa na waweza hata kumshika bila madhara...
Huo ni uongo. Boa ni chatu. Huyo hapo ni kifutu.
 
Habari za jioni,

Wataalam wa nyoka na wazee wa pori, napenda kujua huyu ni Aina gani ya nyoka and kama ana sumu au hana...
Watamu sana hawa. KISEBENGO. unaweza mchemsha tu baada ya kumtoa ngozi. Au unaweza mchoma au mkaanga au mpika na mchuzi. Kitimoto yenu haioni ndani. Mtamu sana. Kule china kakipande tu kama kidole gumba unakuta Hotelini Tsh 1,000,000. NASISITIZA WATAMU SANA.
 
Habari za jioni,

Wataalam wa nyoka na wazee wa pori, napenda kujua huyu ni Aina gani ya nyoka and kama ana sumu au hana.

And vipi tabia zake, anatembea mwenyewe au wawili wawili.


View attachment 2448174
Hawa nilikua nakutana nao sana dodoma kipondi hcho mvua ikinyesha kidogo tu usiku wanazagaa hila wenyeji walikua wanatuambia awaumi na wala awana sumu na kweli cjawai sikia kesi yao ya kuuma watu na wapo wengi sana aipiti wiki usikutane nao wanapita hadi miguuni awana shida
 
Siyo kweli kwamba hawaumi.

Aina hii ya nyoka vifutu, ni wapole na hawafuati kuuma mtu kama zilivyo aina zingine za nyoka.

Hawa huuma wanapokanyagwa hasa mtu anapotembea gizani bila kuona apitapo.

na akikuuma sumu yake husababisha kansa isiyotibika mpaka mguu ukatwe .
 
Kitimoto na nyoka havifanani? Moja nyara ya serikali na huwezi peleka shingo kibra, wakati nyingine unadondosha shingo ikiwa imeelekea kibra
 
umefanya makosa kumuua huyo puff adder ..kuna shamba letu walikuwaga wengi sana tulikuwa tunawaua wakakimbia aisee lilikuja kundi la panya lilikuwa linafukua mahindi balaa kumbe hawa walikuwa wanasaidia kupunguza panya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…