Wataalam wa nyoka huyu ni nyoka gani?

Sumu ya nyoka haipo kwenye mifupa. Ipo kwenye tezi zilizoko kichwani huku. Hizo za mifupa kuwa na sumu ni habari za vijiweni.
Kweli,tabora kule swila/cobra wengi yaani Kama mijusi tu,aliuliwa pembezoni ya kiwanja Cha mpira,kwenye kucheza mmoja wetu akakanyaga mifupa,ile Imani kwamba unapata sumu tulikua nayo,lakini wapi,mwana alikua fresh tu,sumu zinakaa kwenye glands huku kichwani,nyoka mwenye sumu kichwani mataya yametanuka
 
Kwa taarifa yako. Bora ung'atwe na nyoka kuliko kuchomwa na mfupa. Mfupa ukikuchoma ni issue nyingine.
 
Nyoka mkubwa hivyo anapita tu mguuni umrtulia tu?
 
Kitimoto? Wanagonga kichwa aanguke ndio achinjwe πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Na shingo inaelekezwa kule inakotakiwa
Ooooh.... Hapo sasa anaweza kuliwa vizuri tu?
 
Chakushangaza nikienda ugenini haipiti siku tatu sijaona nyoka, wakati mwingine nashtuka tuu nimemshika nikiwa na pilika zangu ila hanifanyi chochote. Sasa Kuna wakubwa kivipi
wazee ..
kwenu wazee wapo!
mana hio sio kawaida
 
Hivi kumbe kweli kabisa kuna mijoka mikubwa namna hii.! Sijawahi kutana na nyoka mkubwa kiasi hicho huwa naona kwenye mapicha naona tu ni mapicha picha kumbe kweli wapo wakubwa
Huyo ni kifutu(moma) mzee, na huwa wanakuwa wawili wawili... Shambani kwangu tushaua kama wa5 hivi. Wengine walikuwa pair.

Pichani ni wawili, waliuwawa sehemu moja kwa tofauti ya nusu saa tu.View attachment 2448253View attachment 2448254
 
Madhara ya ku-google mwisho unaokota taarifa zisizo sahihi ambazo baadae zinakuletea madhara. Huyo ni kifutu usimuingize chaka mwenzio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…