Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

Hakuna siasa inayosema tutumie Penadur kwenye syndromic approach treatment of STIs. After all saivi vipimo vingi vipo readily available tofauti na zamani Culture and sensitivity mpaka Dar es salaam tena watume Nairobi!

Mfano RPR ni rapid test ya bei rahisi, ipo almost kila mahali na inachukua less than 20 minutes kupata majibu. Kwanini umuumize mwenzio na maumivu ya Penadur ya wiki nzima badala ya kufanya kipimo ili umpe tiba sahihi?
 
Mkuu unajua hata unaposema STI unamaanisha nini?
Unamaanisha Syndromic Approach ya Treatment ya UDS/GUD (Ulcers Disease Syndrome/Genital ulcers) sio STIs..?

Unayosema yote nayajua! Nimeanza kufanya kazi Tangu tunadunga sindano (Kuchoma sindano zilizochemshwa kwanza kabla ya kuchoma mwingine)

Mpaka sasa mnachoma sindano..

Unajua Hata kwanini Kuna syndromic Approach (Ukishapima ugonjwa huwezi tena kuuita STIs wala Syndrome)

Utauita kwa jina lake mfano kama ulivyosema Syphilis na matibabu ya syphilis hayawezi kuwa syndromic ...yanafahamika kwa Dx yake..

Nafunga mjadala Huu sidhani kama nitajb

proffesionalism na ethically kama una matibabu mazuri unaweza ukashare na sisi bila kuweka mabishano yoyote kila siku kunafanyika research nyingi sana za magonjwa so Mabishano haya kwangu hayana Afya kwa Matibabu ya Mgonjwa...

Ciao
 
Hata mimi nilishaufunga. It was an honour to engage in discussion with u. Uzidi kusaidia watu huko ulipo
 
Thank you very much, appreciated! Naufanyia kazi Ushauri na nitarejesha majibu
 
Sijakuelewa bro?!
Una gono baridi. Ni tricky kweli kweli kutibu. Ukiminya uume mara nyingine unatoa tone la maji meupe? Yaani hayatoki muda wote ila mara chache? Unatakiwa ufanye kipimo cha culture and sensitivity. Yaani wanachukuwa hayo matone kwenye kijiti chenye pamba, wanaotesha wale wadudu na kuwawekea dawa tofauti ili waone ni dawa gani inaua wale wadudu.
 
Hata mimi nilishaufunga. It was an honour to engage in discussion with u. Uzidi kusaidia watu huko ulipo
SAfi and this is how medical works! Shukrani sana..
yeah wanasaidika sana mkuu..

ukipata Muda wa kusoma Specialise kwenye internal medicine inakufaa zaidi kuwa Physician mkuu!
Karibu tuhudumie watoto (Paediatrician)
 
nilikua na mechi ngoja nirudi home nikachek cartoon tu aise hii story yako imenitisha

pole mkuu utapona as long as grid inasoma -ve hamna mbaya
 
Swadacta wew kama umeniona ...
Kabisaaa mim usaha siuoni Ila unatoka mkojo kawaida, na matone ya mkojo ya mwisho meupe Ila ukikaa mwishon mara moja moja utaona maziwa meupe mepesi na kwenywe semen pia yapo maziwa meupe na semen zenywe Tu na hata kwenywe urinalysis wanasema iko poa, Ila damu haijakaa sawa Dr kasema mwili unapambna.
Maumivu ni makali Sana kwenywe base ya uume, na kwenywe urethra.. pia nikipeknya kwenywe urethra naona ulcers au vijidnda Ila usaha siuoni...
 
Daaah katika harakati za mizagumuano watu wanakutana na mengi 😂😂


Basi ukipona utauza mechi tena kama ambavyo hukuonyeka mwanzo
 
Tusiwe wabishi bila sababu;
1: Kwa nini ung'ang'anie guidline iliyopitwa muda wakati mpya ipo? Na iko online?

2: Kwa nini uunganishe GUDs syndromic approach kwenye UDS syndromic approach?

3: Kwa nini ung'ang'anie syndromic treatment kwa kitu ambacho Rapid test(RPR) inaweza kukuondolea utata husika?

Cheap vs Rapid vs less negative effects.

Mtu unatetea kumchoma mwenzio antibiotics na arudie kwa siku kadhaa? Wakati njia mwafaka ipo?

Tujiulize kwa nini kwa mazingira kadhaa syndromic inaruhusiwa na wapi hairuhusiwi. Tusifanye kwa mwenendo binafsi usio na tija.

Tunatakiwa sisi tuwe wa kuwasaidia wenzetu kufuata taratibu husika.

1: Atibiwe kwa utaratibu mwafaka. Na kuhakiki baada ya tiba.

2: Atibiwe mwenza

3: Apewe elimu ya kujikinga na maambukizi yeye na mwenza kwa kuacha utaratibu wa sasa na kufanya ngono salama.

4: Pia risk factors zinazomfanya aingie huko kama pombe nk. Aweze kukabliana nazo.

NB: Public na private health sector wote tuna nia njema kwa wateja wetu. Mambo mengine ya referrals kutokufanyika kwa wakati ni weakness za mtu mmoja mmoja si mfumo. Yanatokea pote kwa sababu mbalimbali. Tuungane kupambana tushauriane vyema ili tuendelee mbele dhidi ya adui wa afya zetu wenzetu.
 
Pole kwa unayoyapitia
Lakini nakushaur acha uchafu,acha ngono kinyume na maumbile
Mavi yamebeba wadudu wengi ambao wakihamishwa madhara ndiyo hayo

Rudi hospitali elezea scenario yako na ikibidi ufanye culture and sensitivity ili kubaini dawa itakayofaa kwasababu hapo inaonesha umeshatumia dawa za hilo tatizo karibu asilimia 90
Pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…