Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

Yote hayo kabla ya culture and sensitivity kwa mtu ambaye ana strong history ya STI?
 
Nashukuru mkuu!
Ila kwa maelezo yake japo mengi anaficha kuna uwezekano..
Akawa na Co-Infection na hizi case zipo nyingi sana...

Na huenda ikawa multiInfection pia kwa sababu Gonorrhea kwa mwaka mmoja ni jambo la kufikiri Sana Lazima ingeshaanza kumletea complication nyingi...

...kinachoweza kuhimili mwaka mmoja mara nyingi ni syphilis..

Na uko sawa kabisa kinachoweza kuamua Vizuri ni Culture amd sensitivity
 
Unatumia jina la mtu mwenye uelewa wa Udaktari lakini una uelewa sawa na Manyaunyau
Nakuona DOKTA UCHWARA unaabudu madonge yenye KEMIKALI kuliko MIMEA iliyoumbwa na Mwenyezi Mungu.

Unajisikia fahari mwenyewe kutaja majina ya KIGIRIKI, mara zijui AMPHETAMINE, sijui DOXYCYCLINE πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™Œ

Mwenzako huyo hapo kagonga mzizi mmoja tu wa mpapai GONO KWISHAA!

Wewe uko bize na MAKEMIKALI , AMPHETAMINE πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ˆπŸ™ˆ Ndo maana mgonjwa haponi HAMJIELEWI πŸ˜‚
 
Syphilis ya mwaka mmoja haiwezi kuonesha dalili maana ipo kwenye latent phase. Na toka lini syphilis ikasababisha urethral discharge au maumivu ya tumbo la chini (LAP)? Pia amesema mara ya kwanza alipona so kilichotokea ni recurrence sio chronicity
 
Bichwa kome 🀣🀣
MKuu we hujawahi kuwa serious kabisa sijWahi kukuona ukiwa serious 🀣🀣🀣
 
Sio sehemu zote wana Access na ruhusa ya kufanya safe Culture and sensitivity mkuu...
DOKTA samaleko πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ

Naona mgonjwa haponi licha ya kutumia RUNDO LA MAKEMIKALI πŸ˜‚πŸ˜‚ AMPHETAMINE and DOXYCYCLINE πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Haya, mkiambiwa ukweli mnafura, mwenzako pale juu KANYWA MIZIZI YA MLONGE ndani ya siku saba tu GONO KWISHA.

Lakini huyu BABA DOXYCYCLINE anazurura tu mahospitali anadungwa MAJUISI yenye KEMIKALI yanadunda.

Mara oooh, bakteria suguu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ MBONA ukitandika MLONGE bakteria hawaleti kisirani wanafyekwa instantly πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hao Madaktari unaowaita uchwara ndio watakaokutibu wewe na bwanako mnayefanya ushoga huku ukilalamika kufanyiwa domestic violence na mama mkwe. Unapinga dawa za Wagiriki huku unaendekeza tabia za Wagiriki ambao ndio waanzilishi wa ushoga na ufilanaji
 
Syphilis ya mwaka mmoja haiwezi kuonesha dalili maana ipo kwenye latent phase. Na toka lini syphilis ikasababisha urethral discharge au maumivu ya tumbo la chini (LAP)? Pia amesema mara ya kwanza alipona so kilichotokea ni recurrence sio chronicity
Uko sawa Mkuu haiwezi kuonyesha Symptoms na ndo maana you need to treat as Co-Infection..

Umewahi Kujiuliza Why we Treat STI as syndromic Approach and Not single Dx
 
. Pole sana mkuu , ungekua muuguzi/Sekta ya afya kuna dawa fulani hivi ningekuelekeza...
. Inatibu gonorrhea ndani ya Masaa matatu tu..
 
Matumizi ya miti shamba ni salama BICHWA KOMWE - Japo Inatakiwa kunywa Mitishamba iliyoThibitishwa na TMDA na Kupewa kibali kwenye Baraza la Tiba asili na tiba mbadala
 
Sio sehemu zote wana Access na ruhusa ya kufanya safe Culture and sensitivity mkuu...
Yaani hospital iweze kufanya uroflometry ila wasiweze kufanya culture and sensitivity? Na what's the point ya kuwa na referral au private labs km Metropolis au Lancet km kila kitu lazima ufanyie hapo hospitalini kwako? Acha kutetea makosa kwa kufanya makosa zaidi
 
Bichwa kome 🀣🀣
MKuu we hujawahi kuwa serious kabisa sijWahi kukuona ukiwa serious 🀣🀣🀣
Mi nazungumza kitu true DOKTA πŸ˜‚πŸ˜‚

Natamani hii elimu yenu nzuri mngeihamishia kwenye DAWA ZA KWELI, na sio MADAWA YA KIBIASHARA yenye KEMIKALI LUKUKI.

Think about it, najua unaona ni maskhara, unalinda udokta wako, lakini haya. YANGU MACHO.

Namuhurumia BABA DOXYCYCLINE anabugia MADONGE kila uchwao lakini haponi anatajirisha FAMASI tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…