Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Sababu zinaweza kuwa nyingi ila kubwa huenda ni ishu ya Usimamizi.
Biashara zetu nyingi Wabongo, hufa iwapo mmiliki akifariki.
Hata Biashara za Marehemu Mzee Mengi, isingekuwa kuwaajiri Wakurugenzi Wahindi Wahindi mule IPP, huenda nayo ingeshakufa saivi.
Mwaka Jana nilipita hapo Kitonga, niliona dalili ya kama wanataka kupa-karabati
Huenda amepatikana Mbia wa kuikodisha hiyo hotel ama pengine ndugu wa Familia wameanza harakati za kuikarabati na Kurejesha huduma hapo Kitonga