Majina aliyesema kuna ya kike na kiume.ni mwanadamuWanajinsia ndio maana hata majina yao yapo ya kiume na kike,
dini utapeli mkuu, ishi maisha yako..... hakuna mbingu hakuna kuzimuHii dunia ya ajabu sana aisee, vitu vizuri vyote vina masharti magumu sana.
Huwezi kuniambia eti kila kizuri kinaitwa dhambi, nione toto limekaa vizuri, nikilitamani tu...Mungu kashaandika "dhambi", nikienda mbele zaidi nikaliweka...anaandika "dhambi".
Siku nikisema nipige mvinyo kidogo nichangamshe akili, nikizidisha tu Mungu anaandika "dhambi"!
Jamaa ashachoka kuziandika.
Jinsia ilianzia huko ndo ikaja dunianiMajina aliyesema kuna ya kike na kiume.ni mwanadamu
Majina ya Malaika kwanza hayakupaswa kupewa wanadamu
Yale ni.majina yao .Dunia ndio imayaharibu kwa kuyatwaa na kuwapa watoto wao
Ni kama jina Mungu haitakiwi binadamu awe na hilo jina
We acha tu kila kizuri ni dhambiHii dunia ya ajabu sana aisee, vitu vizuri vyote vina masharti magumu sana.
Huwezi kuniambia eti kila kizuri kinaitwa dhambi, nione toto limekaa vizuri, nikilitamani tu...Mungu kashaandika "dhambi", nikienda mbele zaidi nikaliweka...anaandika "dhambi".
Siku nikisema nipige mvinyo kidogo nichangamshe akili, nikizidisha tu Mungu anaandika "dhambi"!
Jamaa ashachoka kuziandika.
Sio kweliJinsia ilianzia huko ndo ikaja duniani
Nitajie na wa kikeMalaika Gapriel ni wakiume, wewe unataka kunambia ni wakike hapo ndipo nitakapokataa, wakiume wana uume na wakike wana uke
Nitajie Malaika mwenye jina la kikeWanajinsia ndio maana hata majina yao yapo ya kiume na kike,
Ipo shida tu kujamiiana na mke asiyekuwa wakwako (kuzini) au kujamiiana kwa watu wasiofunga ndoa (uasherati). Kuna shida kwenye hayo matendo hata kama Mungu asingekuwapo. Nafikiri unajua shida hizo.Dini zote duniani zinahubiri kuwa kufanya mapenzi ni dhambi hivyobasi mwanadamu hapaswi kufanya mapenzi na mwanadamu mwezake.
Mwanaume kuwa karibu na mwanamke au kujenga urafiki imekua ikiibua maswali mengi kwa watazamaji.
Kwahiyo swala la jinsia limekuwa likitafsiriwa vibaya sasa tuelezeni kwanini kuna Malaika wa Kiume na Wakike? Kwanini wakawa wa Kiume na Wakike?
Kwanini wasingekuwa jinsia moja kama jinsia haina maana kubwa kama mnavyotudanganya kwamba wanaume tusikutane na wanawake wala wanawake wasikutane na wanaume?
ngoja waje wa mizigo 40 na nguvu za mizigo 100 kwa sikuMalaika hawana jinsia. Mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa.
Kufanya tendo la ndoa ndani ya ndoa siyo dhambi, ila nje ya ndoa.
Malaika wana roho bila miili, hawana jinsia.
Sawa ngoja tukubaliane na kauli hiyo kuwa Malaika hawana jinsia.Malaika hawana jinsia. Mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa.
Wanatudanganya kwamba hawana jinsia wakati wana jinsia ya kiume na kike. Dini zetu zimejaa porojo hakuna wanalojua zaidi ya kupiga makelele afu wanajifanya sana wanamjua Mungu kumbe hamna lolote.Sawa ngoja tukubaliane na kauli hiyo kuwa Malaika hawana jinsia.
Lakini vipi kuhusu muonekano wao usoni, wana sura gani?
Wana sura za kike au za kiume?
Mionekano yao tunaambiwa wana mabawa, ila mi nataka niende deep zaidi.
Nafikiria hapa kwa kutafakari muonekano wa binadamu, muonekano wa binadamu wa jinsia ya kike huwa ana matiti kifuani.
Binadamu wa kiume huwa hana matiti ila ana small nipples tu kwenye kifua.
Sasa nikianza ku imagine huyo Malaika ambaye hana jinsia, kwenye eneo hilo la kifua yeye atakuwa na muonekano gani, ndio nashindwa kupata jibu. Mnaweza kunisaidia wajuzi.
Nitajie jina la malaika 1 wa kikeWanajinsia ndio maana hata majina yao yapo ya kiume na kike,
Naomba unitajie jina moja la malaika wa kikeDini zote duniani zinahubiri kuwa kufanya mapenzi ni dhambi hivyobasi mwanadamu hapaswi kufanya mapenzi na mwanadamu mwezake.