Wataalamu wa Hesabu hapa shida ni nini?


6 ÷ 2(2 + 1) = 1

6 / 2(2 + 1) = 1

6 ÷ [2(2 + 1)] = 1

6 / [2(2 + 1)] = 1

(6 ÷ 2)(2 + 1) = 9

(6 / 2)(2 + 1) = 9
 
Kama unaelewa BODMAS halina utata wowote. Malizana na mabano ndo utapata jibu sahihi.
 
Unasema lina utata; ila hujasema utata huo ni upi?
 
Tecno kaiweka hivi (6 divide2)(1+2) badala ya kuanza na blacket! Casio is right
 
😂😂😂😂mabingwa wa hesabu wanasema jibu la 1 ni njia iliyopitwa na wakati
View attachment 2936587
Huyu ni ngonjwa kama wagonjwa wengine.

Kanuni ya BODMAS inaanza na KUFUNGUA MABANO.

Ila yeye kajumlisha tu 2 na 1, mabano hajafungua, anakimbilia kudai eti kugawanya na kuzidisha zina vipaumbele sawa.

Unasemaje zina vipaumbele sawa wakati bado mabano yanakutazama? Pathetic!
 
Hamna utata hapo...labda kama hujui hesabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…