Wataalamu wa Hesabu hapa shida ni nini?

Mkuu, na wewe pia ni muongo squared.

6 ÷ 6 = 1 (siyo 2)
 
Mkuu,
Umeenda vema ila hapo bold naona ukaingia chaka tena.
 
Hakuna tofauti kati ya kumultiply kwanza namba za ndani kwa 2 halafu uzjjumlishe au ujumlishe kwanza ndo umultiply na 2.
Hio ni law ya algebra inaitwa distributive property.

And yes jibu ni 1
 
Hakuna tofauti kati ya kumultiply kwanza namba za ndani kwa 2 halafu uzjjumlishe au ujumlishe kwanza ndo umultiply na 2.
Hio ni law ya algebra inaitwa distributive property.

And yes jibu ni 1
Yess kama kwny mabano ni kujumlisha hakuna effect kwny jibu ukiplus then uka multiply...
 
CASIO yupo sahihi jibu ni 1

Lazima kwanza uanze na order of operations ambayo ni PEMDAS.

Kwahiyo, inabidi usimplify namba zilizopo kwenye mabano.

2 + 1 = 3

Halafu utafuta kuzidisha

2 ×3 = 6

Halafu unamalizia na kugawanya

6 ÷ 6 = 1

hesabu ya wapi hiyo, jibu ni 9
 

hiyo hesabu ya shule ya msingi ambayo hurudiwa form one kwa kiingereza Jibu ni 9
na ndio sababu nimeona wadau wakisema, huko primary hakuna msingi wa hesabu....
 
japo wachangiaji wote huko juu tumejikita kwenye kutafuta jibu sahihi. Ila Nafikiri Lengo la mtoa mada ni kutaka kujua shida ya izo devices ni nini mpaka zitoe majibu tofauti ya kihesabu kwa swali moja.

Mtoa mada nachokiona kwenye izo devices mbili kuna utofauti wa "programming language" za kihesabu ziliotumika kwenye izo devices, ndio maana zinatoa majibu tofauti kwa swali moja.

Iyo Simu na calculator yako inaonekana zimetumia mathematical programming language zenye utofauti kifogo. Shida ndipo hapo.

Tukirudi kwenye utofauti sa majibu, Kwa uzoefu wangu wa kihesabu nakubaliana na jibu la 1.
 
Hesabu inafuata kanuni na hapa tunafuata the standard order of operations aka PEMDAS kwahiyo parentheses must be resolved first then multiplication halafu division.

Wanaofuata formula nyingine wanaweza kufanya hivyo lakini hiyo sihihi kwamujibu wa order of operations.
 
BODMAS/MAGAZIJUTO hakuna formula tofauti casio yupo sahihi, hiyo ya tecno alitengeneza hiyo software ya calculator ndiyo kachemka.
 
Bodmas, jibu ni 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…