Wataalamu wa Hesabu hapa shida ni nini?

Umeongea nn hapa sasa mkuu

2(2+1) ni 6 kwa eiza kujumlisha za ndani ya mabano ndio uzidishe kwa 2 au uzidishe kwa 2 hizo namba za kwenye mabano moja moja kisha ujumlishe
 
Hakun cha ajabu kwenye hili swali na halina utata. Kanuni ni moja tu, BODMAS na jibu ni moja tu, 1.
 
6÷2(2+1)

MAGAZIJUTO

ANZA NA KUFUNGUA MABANO KISHA GAWANYA
6÷((2*2)+(1*2))
6÷(4+2)
6÷6
1
Kuna siku humu humu jf nimebishana sana na watu kuna uzi ulikuwa na hili swali ila me jibu langu huwa ni moja hakuna namna 1 ndio jibu
 
Swali kama hili lina sheria zake.
Utaratibu wa kulijibu tutatumia mwelekezo wa bodmas.
B - brackets
O - order(power, indices or roots)
D - division
M - maltiplication
A - addition
S - subtraction

Kama orodha inavyosema, tutaanza kusolve brackets(mabano).
2(2+1)
=2(3)
=6
Mwisho
6÷6=1

Mimi sikuwa mzuri maths, ila hili Swali ni standard kwa watoto wa shule ya msingi. Nadhan tumeelewana.
 
Anawaona wenzake vilaza kumbe yeye ndiye kilaza. Huu mjadala mkubwa sio mchezo.
 
Hapo ukitumia BODMAS jibu ni 1.sijaelewa tecno kapataje hiyo 9.

sio tecno tu. hata calculator ya Google inasema jibyu la hilo swali ni 9

sasa kama unaona mathematician walioajiriwa google hawana akili zaidi yako. jipigie makofi

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…