Ndivyo ilivyo, hizo tarakimu 10 za namba ya simu n moja hvy n namba ya simu na sio namba za simu.Hata mimi ninawaza hivyo hivyo. Huenda wanasema "namba ya...", Kwa kuzichukilia zile tarakimu 10 kama kitu kimoja.
Mbona laini yangu ya Voda inatarakimu kumi hapa.Namba ya simu ukiwa na laini moja, kama una laini nyingi ni namba za simu.
Huyu ni bosi wangu aisee 🙌Ngoja aje akupopoe
Bosingwa auHuyu ni bosi wangu aisee 🙌
Ndo ukweli huoSitaki kuamini kabisa.
Lakini laini moja ya simu inatarakimu (namba) zaidi ya Moja mkuu.namba ya simu (maana ni namba moja )
namba za simu (maana yake mpe zote za mitandao yote uliyo nayo)
zote zi sahihi kulingana na unataka namba 1 (ya) ama mitandao yote/nyingi/tofauti (za)
Kuna watu wa kuwarushia makombora ya kibalistiki, lakini siyo bosi Mbaga, kaka 😂Bosingwa au
Kweli inasikitisha sana!Ndo ukweli huo
hio avatar inakumbusha kijijini kwetu kuna jamaa avuta sonyo yupo hivihivi huko uchaganiNamba "za " cm maaa ni nyingi (wingi)sio umoja namba ya simu.
Ndo hivyo sem mleta mada anataka uzi uende mbaliHata mimi ninawaza hivyo hivyo. Huenda wanasema "namba ya...", Kwa kuzichukilia zile tarakimu 10 kama kitu kimoja.
Anaitwa nani na picha plizii🤪hio avatar inakumbusha kijijini kwetu kuna jamaa avuta sonyo yupo hivihivi huko uchagani
Huyo ndio wa kumtupia Kinu cha kiTallibanKuna watu wa kuwarushia makombora ya kibalistiki, lakini siyo bosi Mbaga, kaka 😂
Ufafanuzi murua huu.Namba ya simu ni mkusanyiko wa namba/tarakimu kadhaa zinazompa mtumiaji uwezekano wa kuwasiliana kutumia kifaa simu. Kwa hivyo mkusanyiko huo kama ulivyo ni "namba" moja. Mfano pia unaweza kuwa kwenye namba ya usajili ya gari na mambo mengine kadhaa.
Mleta Uzi si ndo Mimi mkuu 😂Ndo hivyo sem mleta mada anataka uzi uende mbali
Ngumu kumeza bwasheeMtu fulani alisikika akisema, "hebu naomba namba zako za simu", mwingine akasikika akisema, "nipe namba yako ya simu".
Hivi, ni namba za simu au namba ya simu?
Cc macho_mdiliko,
min -me .
Wacha bhana!Huyo ndio wa kumtupia Kinu cha kiTalliban
Namba... ya simu..... ndio sahihi. maana ni moja,Mtu fulani alisikika akisema, "hebu naomba namba zako za simu", mwingine akasikika akisema, "nipe namba yako ya simu".
Hivi, ni namba za simu au namba ya simu?
Cc macho_mdiliko,
min -me .
Huyu ni mmachame kabisaAnaitwa nani na picha plizii🤪