Wataalamu wa lugha ya Kiswahili naomba mnisaidie katika hili 👇.

Wataalamu wa lugha ya Kiswahili naomba mnisaidie katika hili 👇.

Nipe tu dear maana mpenzi wangu mapenzi yetu sijui yanahusiana na nini nahisi yupo busy na mpenzi wake😞
😅😅😅😅😅
Nakuja nae Dar.
Jiandae tuonane.
Halafu huyo aliyeko busy na mpenzi wake nipe namba yake 😝😜 nataka kuwa nae busy mimi.
 
Hata mimi ninawaza hivyo hivyo. Huenda wanasema "namba ya...", Kwa kuzichukilia zile tarakimu 10 kama kitu kimoja.
Inawezekana namba za simu kwa mantiki huenda mtu anamiliki namba za mitandao tofauti lkn namba ya simu inamaanisha ni ya mtandao moja tu.kwa uelewa wangu.
 
Back
Top Bottom