Wataalamu wa lugha ya Kiswahili naomba mnisaidie katika hili 👇.

Home of great thinkers...
Mkuu jibu sahihi ni inategemea unazungumzia simu ngapi. Kama una-address watu wengi na kila mtu ana simu yake, jibu ni ''namba za simu''. Kama ni simu moja tu basi jibu ni ''namba ya simu'' NB: Simu mara nyingi inakuwa na namba moja (kama ina SIM card moja) eg 0405577212 (huu mchanyiko wa namba ndiyo unazaa ''namba moja ya simu''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…