ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Pole π’We waache, Mungu anawaangalia tu!
Bebi girl ulisema itanipa mchumbaπ’Niliyonayo haitumi pesa.
Nataka inayojua mimi nikiwa na shida inanitumia tu pesaπππ
Yupo amejaa tele.Baba girl ulisema itanipa mchumbaπ’
Bomba π₯πͺHapo Kuna wingi na umoja ( kisarufi)
Nipe tu dear maana mpenzi wangu mapenzi yetu sijui yanahusiana na nini nahisi yupo busy na mpenzi wakeπYupo amejaa tele.
Unipe namba niwakutanishe π
Au nikupe yake
Ngoja nikupe hii nyingine niliyohifadhia pesa zangu za matumizi.Niliyonayo haitumi pesa.
Nataka inayojua mimi nikiwa na shida inanitumia tu pesaπππ
π₯Bomba π₯πͺ
Pesa ya maramoja kwa wiki hainitoshi mimi πNgoja nikupe hii nyingine niliyohifadhia pesa zangu za matumizi.
π π π π πNipe tu dear maana mpenzi wangu mapenzi yetu sijui yanahusiana na nini nahisi yupo busy na mpenzi wakeπ
Kama ana line moja ya simu, ni namba ya simu. Kama ana lines mbili (au zaidi) za simu, ni namba za simu!Mtu fulani alisikika akisema, "hebu naomba namba zako za simu", mwingine akasikika akisema, "nipe namba yako ya simu".
Hivi, ni namba za simu au namba ya simu?
Cc macho_mdiliko,
min -me .
Jamani rahaaaπ π π π π
Nakuja nae Dar.
Jiandae tuonane.
Yupo masafaa π€£Halafu huyo aliyeko busy na mpenzi wake nipe namba yake ππ nataka kuwa nae busy mimi.
Tutasaidiana kupata hotel nzuri hapo maeneo ya Shekilango Ili nimshughulishe kidogo π.Jamani rahaaa
Yupo masafaa π€£
Mtawekana u busy wap
Inawezekana namba za simu kwa mantiki huenda mtu anamiliki namba za mitandao tofauti lkn namba ya simu inamaanisha ni ya mtandao moja tu.kwa uelewa wangu.Hata mimi ninawaza hivyo hivyo. Huenda wanasema "namba ya...", Kwa kuzichukilia zile tarakimu 10 kama kitu kimoja.
HakunaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaTutasaidiana kupata hotel nzuri hapo maeneo ya Shekilango Ili nimshughulishe kidogo π.
Hao walioko busy ndo nawapenda mimi.
Kumbe unampenda ee? π π πHakunaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Simpendi ila nakuhurumia usiingie pabayaKumbe unampenda ee? π π π
Aisee unanipenda sana.Simpendi ila nakuhurumia usiingie pabaya
Love u πAisee unanipenda sana.
Nakuandalia zawadi.
Ntakupitishia.
Ni namba ya simu kwasababu ni ujumla wa namba zote husika.Mtu fulani alisikika akisema, "hebu naomba namba zako za simu", mwingine akasikika akisema, "nipe namba yako ya simu".
Hivi, ni namba za simu au namba ya simu?
Cc macho_mdiliko,
min -me .
Basi chukua kabisa kadi yangu ya benki mamaa!Pesa ya maramoja kwa wiki hainitoshi mimi π