Wataalamu wa matunda Hili ni tunda gani?

Swali limeulizwa kwamba zaituni hilo ni sawa na yale ya MLIMA WA MIZEITUNI alipopita Yesu?
 
Swali limeulizwa kwamba zaituni hilo ni sawa na yale ya MLIMA WA MIZEITUNI alipopita Yesu?
mpaka hapa nimeshajua jina lake.
Yanaitwa Egg Fruit.
Sasa sijajua imekuwaje mpaka yakaitwa Zaituni.
Alipopita yesu hizi Egg Fruit kule hazistawi.
 
Hahaha! Unajua nini, niliwahi kuambiwa matunda yenye rangi kali sana jiepushe nayo. Kwa mfano, katika hali ya kawaida bilinganya inatakiwa iwe na sumu, ndio maana sili! πŸ˜€ πŸ˜€
Hataree
 
Yanajambisha kama maharage hayo mazeituni.Tanga yako mengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…