Wataalamu wa Protokali mtusaidie "Rais Samia Suluhu kukaa besides ya Rais Joe Biden ina maana gani?"

Ni alphabet tu hizo
Yani United Republic of Tanzania then United States of America.hata UN huwa wanakaa hivyo
Ahaaa kumbe ni alphabet! Basi mm nilidhan mmoja wapo amemuelewa mwenzie. Yaan Biden kampenda mama. Kwa maana akikaa karibu na mama Atasikia faraja Sana.

Si unajua mama alivyo na mvuto kwa wakuu, Magu aliwah msifia kwa uzur. Kaz iendeleee
 
Wanachotaka mabeberu ni kupigiwa magoti tu. Maza alishajisalimisha mapema sana, sasa ni kuburutwa tu.

Mabeberu yalijipangaga long time kitambo kuiburuta dunia.


JESUS IS LORD OF lords.

Your Jesus himself was a beberu too (Mwenye nacho ataongezewa na asiyekuwanacho atanyang'anywa hata kidogo alichonacho).
 
Sikumbuki kuomba msaada katika hili.
Kwa maana hakuna kitu inachonusaidia. In short unajulikana kuwa nchi zinapangwa kea alphabate. Sasa kwanini UK yuko hapo alipo hata wewe nina imani hujui
 
Sikumbuki kuomba msaada katika hili.
Kwa maana hakuna kitu inachonusaidia. In short unajulikana kuwa nchi zinapangwa kea alphabate. Sasa kwanini UK yuko hapo alipo hata wewe nina imani hujui
Hoja yake ni,

URT,
USA
UK

hapa UK yuko mbali ndio hoja yake ilipo
 
Wanachotaka mabeberu ni kupigiwa magoti tu. Maza alishajisalimisha mapema sana, sasa ni kuburutwa tu.

Mabeberu yalijipangaga long time kitambo kuiburuta dunia.


JESUS IS LORD OF lords.
Alphabetical order....
 
Ni ujanja ujanja ili ionekane kuwa nchi inapendwa sana na Marekani kwa kuwa ina uongozi mzuri wakati kiongozi alie madarakani ni kiazi mbatata.
Sisi Pinga Pinga FC wala hatutaki kujua ya ALPHABETICAL ORDER....
 
Conspiracy theories.....

Unaongelea hayo ukiwa duniani ama mbinguni?!!!
 
Jini jike limetumia hata ujini wake kuwa karibu! sasa litaenda kulipa masangoma ghali si mchezo
Heshima kitu cha bure mkuu....

Matusi Wala hayatawasaidia kuingia IKULU kiutawala ama hata kunywa chai kama mnavyolazimisha....
 
kwani huyo Joe Biden ni nani hasa mpaka tushangae kukaa pembeni ya SSH?

Kuna binadamu mna akili za hovyo sana. Kazi yenu ni kuwatukuza binadamu wenzenu ambao wanakunya kama ninyi, wanajamba kama ninyi na mwisho wa siku watakufa na kuoza kama ninyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…