Wataalamu wa Protokali mtusaidie "Rais Samia Suluhu kukaa besides ya Rais Joe Biden ina maana gani?"

Wataalamu wa Protokali mtusaidie "Rais Samia Suluhu kukaa besides ya Rais Joe Biden ina maana gani?"

Hakuna sbb yoyote, wamekaa tu, UK ingekaa basi karibu na US na URT, wamekaa tu, Iran na Israel wangekaa karibu basi ingekuwa alphabetical order..
 
Walimuweka makusudi ili Biden asisinzie!!!
huyo mzee ana tatizo gani?maana Jana na Soma BBC wanaelezea hawakumwelewa kama alilala au alifumba macho kwenye huo mkutano,maana kuna wakati alifumba macho
 
Dona kantre pekee duniani inayoomba msaada wa kujengewa vyoo (kwa msaada wa watu wa marekani).
Kuna hilo la kujengewa vyoo. Ila kali zaidi ni hili la msaada toka Marekani, kutufundisha kunawa mikono! Kwa kweli hapo tukiwa kama Donna Kantri, tumetisha
 
Vipi kuhusu UK
Ona zilivyopangwa bendera nje ya jengo la UN makao makuu

United-Nations-building_NewYork_20190922134518.jpg
 
Jiwe wangemweka mbali, uwezi weka baga kwa bega, Iran na lsrael, eti sababu alphabet order, never! Wanaangalia na utulivu wa mtu na taifa, uhakika wa usalama na utulivu kipaumbele!
 
Back
Top Bottom